Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!