Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe
tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
View attachment 2322078
"To use deadly force,if necessary"hii haimaniishi kuua,hii idara ni zaidi ya idsra ya mapato,hawa wanabeba siraha,TRA bongo sio polisi Wala hawana mafunzo ya kutumia siraha kama takes la kazi,
Be willing to arrests,execution of warrants,Hili ni takwa kama la takukuru,sio TRA,
Hawa kazi yao sio kukusanya mapato,kazi yao ni kuzuia magendo,utakatishaji pesa,wanafanya kazi kama polisi,kwa hapa bongo ni Sawa na kikosi Cha KMKM,kikosi maalum Cha kuzuia magendo,kule Zenj,na kule Zenj idara ya mapato ni ZRB,ZRB hawabebi siraha,Wala hawaenendi kama idara ya polisi,ni civilian entity,kwenye majukumu yao huwa na polisi,lakini KMKM Hawa Wana vaaa combat Wana mafunzo ya kijeshi,Wana zuia magendo na pesa haramu,Sawa sawa na IRS,
IRS sio idsra ya mapato,kwa sababu ni law enforcement entity,Wana haki ya kubeba siraha,na kukamata kipolisi,Hawa ni Sawa na KMKM sio kama ZRB,Zanzibar revenue bureau,au TRA ya bara.