Unalinganisha nchi ya kidemokrasia ambayo serikali inakuwa accountable kwa watu na hizi zetu? Kodi zinakusanywa zinakombwa na kwenda kufichwa Swiss Bank account ya mtu. Zingine zinawekwa kwenye makontena nyumbani. Kodi zetu ni wizi tuu.
Mbali na kwamba kigezo hicho kimeondolewa lakini hii inatuonyesha ni namna gani wenzetu wanatudangaya kuhusu utawala Bora na haki za binadamu.Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
View attachment 2322078
Mbali na kwamba kigezo hicho kimeondolewa lakini hii inatuonyesha ni namna gani wenzetu wanatudangaya kuhusu utawala Bora na haki za binadamu.
Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
View attachment 2322078
Unapotosha hakuna mtu ana ruhusiwa kuuwa USA bali kujilinda! Unaweza kuenda kwenye biashara ukapigwa risasi na wewe ni lazima ujihami.
Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
View attachment 2322078
Tulinganishe mapato,matumizi na matokeo ya wale mliokuwa mnaua vs ambao hawaui..
Tuanzie hapa, Mwendazake aliingia 2015 mapato bil.850 kwa mwezi anatoka baada ya miaka 5 mapato ya TRA ni Til.1.35 , difference=bil.500
Samia Kwa mwaka mmja mapato kutoka 1.3 T hadi 1.8Til. Bila kuua wala.kupora., difference=Bil.500
Kwa hesabu hizo mmja kaleta tofauti ndani ya mwaka mmja na mwingine Kwa kiasi kile kile alitumia miaka 5..
Ajili kichwani sio mihemko ππππ
Sasa baba mwenye chuki zake hiyo figure imetoka wapi? π€£π€£π€£π€£.Acha ujinga Samia hakusanyi hiyo hela! Nakwambia huyu bibi hana uwezo hui ni uongo wa hali ya juu! Usiamini sana data za huyu bibiyenu ni utaahira mtupu!
Sasa ndiyo umeandika nini? Mbona unakubali halafu hapo hapo unakana? Kuruhusiwa kuuwa kwa kujilinda ni kuruhusiwa kuuwa na Dunia nzima ni hivyo, hakuna nchi ambayo mtu anaruhusiwa kuua for fun!
Kwani yule mbumbavu wa jambiani ana semajeDemokrasia inaishia kwenye kodi ya Serikali hapo hakuna mchezo na ndiyo maana wanaruhusiwa kushoot na hata kuuwa linapokuja swala la kodi, β¦