....mkuu.....wacha kabisa 2021 kwangu ilikuwa ngumu sana sio mbaya....NGUMU....na kama mfanyabiashara...jitahidi uwe na zaidi ya moja.....ukiweza kilimo na uwekezaji wa ujenzi......huko unaweza ficha pesa...ndicho kilichonisaidia....ukwepaji mkubwa kuyadadavua masurufu ya serikali......badala ya kupeleka ..kwa mfano.....badala ya 45 unapeleka 6......system inasoma vema.....upo online...una account zinavimba na kukonda ghafla....since 2013 - 2020.....wananizukia babake....kwanza wakajipangia rushwa.......10% ya deni.......halafu ndio tuanze kudadavua ninachopaswa kulipa......mpaka sasa niko clear,....japo sijamaliza.........ila safari ilikuwa ndefu na NGUMU.......ila hawakufunga account...nashukuru.....nilikuwa mpole...ila mbishi.......so nimejifunza kitu.....now nna adabu japo bila kuchengesha...UTACHELEWA SANA KUFIKA.....