Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,203
- 1,422
Nia ya zoezi ni watu watoe stakabadhi. Siyo kukamata wahalifu tu, japo mhalifu akipatikana baada ya tangazo atakamatwa na mkazo utawekwa kwenye tahadhari iliyotolewa. Wewe ukakaidi baada ya kujuzwa tahadhari. Hivyo, adhabu kubwa unastahili.Zoezi kama hilo ilitakiwa wasitangaze iwe operesheni ya kimya kimya sasa walitangaza feb1 wanaanza sasa hivi ukimwambia mtu leo nakuja kwako kuiba huyo mtu atalala kweli usiku?
Sema January wamefulia acha watafute hela za kula na kulia bata madudu yao tunayajua yote.