Ila hii si ndio tulikua hatutaki kipindi Cha jiwe?Jamaa yangu walimpigia rada kwenye kituo Cha kuuza mafuta ya gari, akaondoka hawakuona Kama amepewa risiti jamaa wakamfukuzia na Toyo wanakuja Kama sio maofisa baada ya kujitambulisha wakaomba risiti aliyopewa baada ya kununua mafuta.
Jamaa alipowaonyesha wakaingia upepo wakasanda. Yaani hapo ingekuwa hana receipt inhemtoka hela ya rushwa hapo balaa.
Tudai receipt kwa maendeleo yetu na Taifa letu.
Tupe ushuhuda mkuuMTANZANIA....usijaribu kukwepa kodi........bora ucheleweshe...ila usikwepe.....UTAJUTA.......nimejifunza.....
M-bongo bila mboko haendiTask force imerudi. Sasa mwanzo walikataa ya nini?
AiseJamaa yangu walimpigia rada kwenye kituo Cha kuuza mafuta ya gari, akaondoka hawakuona Kama amepewa risiti jamaa wakamfukuzia na Toyo wanakuja Kama sio maofisa baada ya kujitambulisha wakaomba risiti aliyopewa baada ya kununua mafuta.
Jamaa alipowaonyesha wakaingia upepo wakasanda. Yaani hapo ingekuwa hana receipt inhemtoka hela ya rushwa hapo balaa.
Tudai receipt kwa maendeleo yetu na Taifa letu.
Acha mawazo finyu, haiwezekani ikawa kwa Kodi yote, ila hiyo ni 3% ya atakayeripoti siyo nchi nzima wataripoti na wafanyabiashara wote wataripotiwa au wote ni wakwepa Kodi.3% ya Kodi yote nchini ni kiasi gani?!!
....mkuu.....wacha kabisa 2021 kwangu ilikuwa ngumu sana sio mbaya....NGUMU....na kama mfanyabiashara...jitahidi uwe na zaidi ya moja.....ukiweza kilimo na uwekezaji wa ujenzi......huko unaweza ficha pesa...ndicho kilichonisaidia....ukwepaji mkubwa kuyadadavua masurufu ya serikali......badala ya kupeleka ..kwa mfano.....badala ya 45 unapeleka 6......system inasoma vema.....upo online...una account zinavimba na kukonda ghafla....since 2013 - 2020.....wananizukia babake....kwanza wakajipangia rushwa.......10% ya deni.......halafu ndio tuanze kudadavua ninachopaswa kulipa......mpaka sasa niko clear,....japo sijamaliza.........ila safari ilikuwa ndefu na NGUMU.......ila hawakufunga account...nashukuru.....nilikuwa mpole...ila mbishi.......so nimejifunza kitu.....now nna adabu japo bila kuchengesha...UTACHELEWA SANA KUFIKA.....Tupe ushuhuda mkuu
Pole sana. Nchi ngumu sana hii. Nilipitia hayo 2019.....mkuu.....wacha kabisa 2021 kwangu ilikuwa ngumu sana sio mbaya....NGUMU....na kama mfanyabiashara...jitahidi uwe na zaidi ya moja.....ukiweza kilimo na uwekezaji wa ujenzi......huko unaweza ficha pesa...ndicho kilichonisaidia....ukwepaji mkubwa kuyadadavua masurufu ya serikali......badala ya kupeleka ..kwa mfano.....badala ya 45 unapeleka 6......system inasoma vema.....upo online...una account zinavimba na kukonda ghafla....since 2013 - 2020.....wananizukia babake....kwanza wakajipangia rushwa.......10% ya deni.......halafu ndio tuanze kudadavua ninachopaswa kulipa......mpaka sasa niko clear,....japo sijamaliza.........ila safari ilikuwa ndefu na NGUMU.......ila hawakufunga account...nashukuru.....nilikuwa mpole...ila mbishi.......so nimejifunza kitu.....now nna adabu japo bila kuchengesha...UTACHELEWA SANA KUFIKA.....
Kodi inayokwepwa ni kiasi gani kwa makadirio ya tra?Acha mawazo finyu, haiwezekani ikawa kwa Kodi yote, ila hiyo ni 3% ya atakayeripoti siyo nchi nzima wataripoti na wafanyabiashara wote wataripotiwa au wote ni wakwepa Kodi.
Ni nyingi lakini hawaipati.3% ya Kodi yote nchini ni kiasi gani?!!
POLE MKUU....aiseeePole sana. Nchi ngumu sana hii. Nilipitia hayo 2019.
SwadaktaHakuna mjinga atabeba mzigo kwenye canter,kirukuu,townace halafu asibebe risiti 'ya barabarani'! Hakuna! Hata kabla ya hili zoezi.
Tatizo ni ubadhilifu na matumizi ya hovyo,ifike mahala wote tuwe responsible kwenye kutoa na kuomba risiti.. iwe ni utamaduni wetu wote tu.... Serikali ikikusanya mapato makubwa tuna haki wote kuihoji hela za hizi kodi zinakwenda wapi? haiwezekani taifa la watu zaidi ya 60mil eti linakusanya 2trilioni wakati kiuhalisia tulipaswa kukusanya zaidi ya 7trilioni kwa mwezi kama tutakuwa serious..