Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,203
- 1,422
Nia ya zoezi ni watu watoe stakabadhi. Siyo kukamata wahalifu tu, japo mhalifu akipatikana baada ya tangazo atakamatwa na mkazo utawekwa kwenye tahadhari iliyotolewa. Wewe ukakaidi baada ya kujuzwa tahadhari. Hivyo, adhabu kubwa unastahili.Zoezi kama hilo ilitakiwa wasitangaze iwe operesheni ya kimya kimya sasa walitangaza feb1 wanaanza sasa hivi ukimwambia mtu leo nakuja kwako kuiba huyo mtu atalala kweli usiku?
Sema January wamefulia acha watafute hela za kula na kulia bata madudu yao tunayajua yote.
Sio mimi aisee when it comes to payment of statutory fees and levied services. Kama umelipa kwa kupata huduma ni shida gani inakupata ukichukua receipt??Ila hii si ndio tulikua hatutaki kipindi Cha jiwe?
Nyingi ndiyo kiasi gani?Ni nyingi lakini hawaipati.
kwani baa hawafanyi biashara inayostahili kutoa risiti? unakuta meza imejaa bia tena heineken na k vant ,.tatizo watu risiti hizi tunachukulia poa ingekuwa namba ya simu ya weita weeee unakitunza kikaratasi kisipotee dadadeki. nani hao wanaofanya biashara halafu wamesamehewa lipa kodi? sasa watajuaje pia kama biashara uliyofanya ndiyo hiyo kama hutoi risiti na uliyemuuzia kama kanunua kihalali kwako?kumbuka kuna mwingine risiti hiyo inaenda msaidia kukadiriwa kodi au kurejeshewa sijui wanasema vat refund .Hivi kwani kuepuka na hawa tra kuna shida gani kudai risiti?Hivi na kwenye baa na migahawa wana komaa na risiti? Naombeni ujuzi. Na je wale ambai wana tax exemption pia wanatakiwa kuwa na efd machine?
Wewe ni mkwepa kodi.Nyingi ndiyo kiasi gani?