TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

Wale jamaa ni wasomi sana. Wamesoma kumzidi kila mtu duniani.
 
Kibaya zaidi kama ndio wameanza ku-frustrate investors hizo Dollars watazipata wapi?..... Maana hata watalii sidhani kama wanapata thrilling experience kuwafanya warudi tena Tz kwa hali hii ya ubabaishaji tunayoishuhudia
Tatizo kukopa sana kuchukua harusi marejesho kilio, hii nchi kausha damu sio kwa wananchi tu mpaka kwa wenye nchi ndugu yangu nao wanakaushwa
 
Kibaya zaidi kama ndio wameanza ku-frustrate investors hizo Dollars watazipata wapi?..... Maana hata watalii sidhani kama wanapata thrilling experience kuwafanya warudi tena Tz kwa hali hii ya ubabaishaji tunayoishuhudia
Suala la dollar acha kabisa dola Amna juzi hapa nimeinunua Kwa 2900 imagine mambo yako ovyo kabisa
 
Suala la dollar acha kabisa dola Amna juzi hapa nimeinunua Kwa 2900 imagine mambo yako ovyo kabisa
Nchi yetu ina disappoint Sana bro........ Hakuna kabisa uwajibikaji, so bila kuipigania nchi hali itaendelea kuwa mbaya Sana maana mifumo saizi haipo vizuri kabisa.
 
Kikubwa ni wao wavuke lengo la ukusanyaji, hawajui kesho watakosa hata sehemu ya kukusanya, unawezaje kuharass FDI wakati huna hata uwezo wa kuajiri 50% ya wahitimu wa vyuo ?

cc. TRA Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…