TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Humu unaandika sana uongo juu ya Diamond, huwezi kuaminika na habari yako. Acha kuwa chawa ovyo..
 
Kwanini wasiwe kama kina YB, Fida Husein, OBakhresa, Dewji Family, Asas, Lake Oil, Azania etc hao wote wana mapesa ila hawana machawa
 
Mtoa mada Helicopter na Ndege iko wapi maana mwaka unaisha
 
Mtoa mada Helicopter na Ndege iko wapi maana mwaka unaisha

Anasema Agent washamlipa pesa yote ndio kachelewesha na kesi iko mahakamani, wakati watu wanajua Air Wasafi ilikua biashara ya mtu na alitaka usafirishaji wa Zanzibar to Dar hasa watalii sasa alighairi ndio visingizio hivo
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Ame underport anachokipata kwenye financial reports. Hivyo TRA kisheria wapo sahihi na wanahaki ya kuvamia office na kufanya upekuzi na kuzuia bank accounts.

Sio yeye tu ila makampuni mengi wanafanyiwa hivyo sio awamu hii tu ila tokea TRA iundwe
 
Wakati kina Mbowe na wengine wengine walipokuwa wananyang'anywa mabilioni kutoka akaunti zao benki jamaa huyu alikaa kimya bila hata kuishambulia serikali kwa "unyanyasaji" kama anavyouita Sasa hivi.
Kwa kuwa Sasa ni zamu yake kelele ya nini. Alipe tu kwa kweli.
 
Uongo wa kitoto sana ule ndio ujue pale napo tia maji tia maji tu sifa kibao lakini kichwani zero kabisa
Kwamba agent anaitwa Mr T.

Hivi kweli Diamond alipie ndege asitoe risiti?

Ni kama ile Hotel aliyosema kainunua Mikocheni hadi kina Zembwela na Kitenge wakaenda iona siku anasema atatoa malazi bure kwa wanaowekwa karantni
 
TRA imeshinda Tribunal zote na wanakuwa na advantage maana tayari wanakuwa wamekamata hela zako
Sikukatalii ila bado due process ni nzuri mno. Precedent huwa ina effect kubwa mno.
 
Alipe kodi aache janjajanja, TRA ni taasisi hawawezi kushikilia pesa bila sababu
 
Sasa kama hawalipi kodi ulitaka wachekewe tu?
Hakuna aliye juu ya sheria, inaonekana ana pesa nyingi ambazo hazina maelezo ya kina au haziendeni na kazi anayofanya, akithibitisha kwa vyanzo vyake na kodi stahiki anayotakiwa kulipa atakwenda sawa na TRA, asilalamike kupitia mitandao huo ni utoto!
 
Naona vijana wa mbowe mnamwaga povu la kutosha 😂😂😂

Sawa sisi tunawatazama tu
 
Chitaki chitaki, chitaki chitaki.
Alisikika baba levo akiimba wimbo[emoji16]
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Unajuaje huyo mama ndio kawatuma...

Je huyo mama ana kauli ya kimamlaka kuwakemea kukataza hayo?

Let it be as it is...
 
Ndo maana niliwahi sema humu kuwa!! ukiweza hama hilo li nchi! Maskini weeengi ni shida sana!! ukitoboa kimaisha ni utapeta kwa muda mfupi tu then utarudi palepale!!

hela zako wanazitaka weengi ajabu!! hata Rais, waziri, anazitamani!...make yeye hana na familia yake hawana hizo hela!...ni shida tuuu! kwa kwenda mbele hata ukilipa kodi zimejaa ujanja ujanja tu!

km una mihele yako wekeza huko mbele kwa matajiri hasaaa!!...na kodi yao wape ili wakulindie pesa zako zako, ikibidi hama kabisa uwe km Muhindi anavoishi hapo Bongo!...LKN HAO WASWAHILI RUBISH SANA TU!

shida weeee mpaka matakoni!!
 
Back
Top Bottom