smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Diamond awe km Mbowe Families! Mbowe ni hela mpaka kesho, hata serikali iwafilisi vepi!! hata km ikiwanyang'anya Hotel Bilicanas, sijui kuharibu mashamba yake, ya Maua!!! mnajisumbua bureeee!!Kumbe Mbowe ndo DG wa TRA
sana mtaota vibiongo kwa roho Mbaya zenu! Mbowe family wako njema ni usiombe!! kaeni kwa kutulia! kwa sababu Familia ile wana, Mahotel, Mashamba ya miwa Kenya na south Africa, New zealand!
mara dufu zaidi ya tumali tuliopo hapo Bongo yenu!...ndo maana Mbowe halii lii sana!! akifanyiwa figisu! figisu na serikali jinga la jiwe!....chaga lile jamaa! Diamond kajifunze pale! mkijiroga mkampa Urais ndo kabisaaaaa!!
Akistaaf siasa yule mtamtafuta kwa tochi! mchana kweupeee!..hana njaa km wengi mnavo fikiri! sasa turudi kwa Diamond sasa, huyu diamond huyu yeye Mihela yake kajaza kwenye Vi- Bank vya kienyeji hivo! anategemea nini??
Ategemee kulizwa sana, na kubambikwa mikodi ya hovyo! wabonog walivyo mamburula mtu anakupa kazi anategemea kugema kwako!! ukimnyima tu! anakimbilia kuziba mirija ya fedha zako!
akifanya hivo na wewe ukuje kivingine tena kwa hatari zaidi!...asa ndo km Diamond! anavo fanyiwa na watu walio msukia mission za fedha!.. sasa wamenuna ndo inakuwaga hivi!
kuyajua Ma bank ya nje vizuri,..... Diamond inabidi akasome tena upyaaaa! kuhusu fedha! au ampeleke Mama ake akasome financial management! bado mdogo yule Mama! ndo mwaminifu kwake wakudumu!
Mama yako hata akikupiga ni sawa tu! ndo kwanzaaa utamshangilia! halafu Diamond anampenda sana! Mama ake aseee! duuu!..yule jamaa nahisi huwaga anaumwa kwa upendo ule!
ukitaka ufaidi hela ya Diamond weye mshangilie Mama yake tuuuuu! hata kinafiki tu!! sijui alimpga kijana wake , nini yule Mama! zile ni roho zimeungana daaaaa!...Mama ake akiumia tu! Diamond anaskia maumivu!