TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Kumbe Mbowe ndo DG wa TRA
Diamond awe km Mbowe Families! Mbowe ni hela mpaka kesho, hata serikali iwafilisi vepi!! hata km ikiwanyang'anya Hotel Bilicanas, sijui kuharibu mashamba yake, ya Maua!!! mnajisumbua bureeee!!

sana mtaota vibiongo kwa roho Mbaya zenu! Mbowe family wako njema ni usiombe!! kaeni kwa kutulia! kwa sababu Familia ile wana, Mahotel, Mashamba ya miwa Kenya na south Africa, New zealand!

mara dufu zaidi ya tumali tuliopo hapo Bongo yenu!...ndo maana Mbowe halii lii sana!! akifanyiwa figisu! figisu na serikali jinga la jiwe!....chaga lile jamaa! Diamond kajifunze pale! mkijiroga mkampa Urais ndo kabisaaaaa!!

Akistaaf siasa yule mtamtafuta kwa tochi! mchana kweupeee!..hana njaa km wengi mnavo fikiri! sasa turudi kwa Diamond sasa, huyu diamond huyu yeye Mihela yake kajaza kwenye Vi- Bank vya kienyeji hivo! anategemea nini??

Ategemee kulizwa sana, na kubambikwa mikodi ya hovyo! wabonog walivyo mamburula mtu anakupa kazi anategemea kugema kwako!! ukimnyima tu! anakimbilia kuziba mirija ya fedha zako!

akifanya hivo na wewe ukuje kivingine tena kwa hatari zaidi!...asa ndo km Diamond! anavo fanyiwa na watu walio msukia mission za fedha!.. sasa wamenuna ndo inakuwaga hivi!

kuyajua Ma bank ya nje vizuri,..... Diamond inabidi akasome tena upyaaaa! kuhusu fedha! au ampeleke Mama ake akasome financial management! bado mdogo yule Mama! ndo mwaminifu kwake wakudumu!

Mama yako hata akikupiga ni sawa tu! ndo kwanzaaa utamshangilia! halafu Diamond anampenda sana! Mama ake aseee! duuu!..yule jamaa nahisi huwaga anaumwa kwa upendo ule!

ukitaka ufaidi hela ya Diamond weye mshangilie Mama yake tuuuuu! hata kinafiki tu!! sijui alimpga kijana wake , nini yule Mama! zile ni roho zimeungana daaaaa!...Mama ake akiumia tu! Diamond anaskia maumivu!
 

Diamond ni mtu mwenye hela nyingi.
Mtu mwenye hela hata kiduchu tu hatakiwi kulialia barabarani ovyo kama maskini.
Mtu mwenye hela anampa kazi Wakili akamfungulie kesi ya madai.
Kwenye kesi huko ndo itajulikana ukweli wa mambo ukoje, sio kwenye andiko la juujuu kama hili la kwako la mtandaoni.
 
TRA ana haki ya kushikilia account yako na kuchukua pesa iwapo utashindwa kulipa kodi nahii ni baada ya majadiliano ya muda mrefu. Sababu lazima akuletee barua then ujitetee kisha atakupa assesment kama hajaridhika na utetezi au ushahidi wako. Na katika assesment lazima utoe 1/3 ya kodi ndio majadiliano yaendelee. Pia ana haki ya kumshinikiza mdai wako awalipe wao na sio wewe kama wanakudai kodi. Sasa kama yeye zilichukuliwa kwenye akaunti yake binafsi ataeleza yupo kwenye kundi gani kati ya haya. Sina uhakika kama TRA wanamsingizia. Inawezekana alikuwa anadaiwa kiasi kidogo cha pesa ila ujuaji na kujiona ni mwanachama ndaki ndaki wa chama tawala akajikuta kuna accumulation kubwa ya interest na penalties. Yeye alipe tu kisha aongee nao vizuri kama anaweza kusamehewa hizo interest na penalties. Pia yeye anapaswa kuhangaika na muhasibu wake na sio TRA. Either ni makosa ya muhasibu wake au makosa ya bosi kutokana na ujuaji mwingi. Ila the later is more certain.
 
Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
Ilitakiwa aufuate huo utaratibu kabla TRA hawajachukua hatua
 
 

Attachments

  • TRA DIAMOND.jpg
    90.2 KB · Views: 4
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…