TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

Hata Mimi siweki pesa benki.
Unaweka laki benki yaani sehemu ya usalama. Ukienda kuicheki baada ya miezi kadhaa unakuta imekatwa umebakiziwa 78,000.
Sasa hiyo benki Ni sehemu salama ya kuhifadhi pesa au utopolo??
Mkuu nunua dola au pauni au euro ficha ndani tena mbali, utakuja nishukuru baadae, benki nyingi kwasasa zina hali mbaya sana makato yamekuwa makubwa sana nadhani sababu ya us dollar kuzidi kupanda kila kukicha, tambua ya kwamba benki nyingi zinakopa nje toka benki kubwa sasa sababu uchumi wetu upo lelemama ndio maana zinawekewa flat rate ya payback period kwani npl benki nyingi bado ni janga kubwa,sasa benki za nje huwa zinafanya research kabla ya kuzikopesha local banks za kiafrika, all in all tatizo umasikini
 
Back
Top Bottom