Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ilikuwa kàzi kwelikweli,walilegezaKwahiyo serikali ilivyozima mitandao ikiwemo ‘Wasapu’ ilikuwa inategemea nini hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa kàzi kwelikweli,walilegezaKwahiyo serikali ilivyozima mitandao ikiwemo ‘Wasapu’ ilikuwa inategemea nini hasa?
Sina hamu nao, walishawahi kumhujumu mzee wangu miaka ya 90s' mpaka akafunga kiwanda chake cha kutengeneza furniture.Ukisikia tiaraeiii ndiyo hao sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Nani kasema mimi ni mbunge? 😂😂😂😂Wewe ni mbunge wa jimbo gani?
Watendaji wa vijiji vyipi unaongelea mkuu? Au ni huko kijijiji kwenu mkuu.. mimi niko tandahimba uko katikati mtendaji wa kijiji hajui chochote kuhusu efd machine halafu anatokea mtu kama wewe unasema nikachukue risiti kwa mtendaji wa kijiji, sasa nashindwa nikuelewe vip maana watendaji unaowaongelea wewe hawana elimu kuhusu iyo efd machine.EFD MACHINE zinatakiwa ziwe kwenye haya magari ya mizigo(Tandam, singo, canter, scania, mende na nyinginezo) Na Sio kwa wachuuzi wadogo wadogo.
Sasa unaponunua mzigo wako wa kuokoteza kwa wachuuzi wadogo wadogo basi hakikisha unaukatia risiti. Ambapo hizo risiti zinapatikana kwa watendaji wa vijiji.
Kwanza Jifunze Kujibu hoja kwa upole coz hapa hatujadili Chelsea.Watendaji wa vijiji vyipi unaongelea mkuu? Au ni huko kijijiji kwenu mkuu.. mimi niko tandahimba uko katikati mtendaji wa kijiji hajui chochote kuhusu efd machine halafu anatokea mtu kama wewe unasema nikachukue risiti kwa mtendaji wa kijiji, sasa nashindwa nikuelewe vip maana watendaji unaowaongelea wewe hawana elimu kuhusu iyo efd machine.
Kama mimi dreva nipo newala, katavi uko ndani ndani napataje iyo risiti?
Sawa, ila haya yafanyikeKwanza Jifunze Kujibu hoja kwa upole coz hapa hatujadili Chelsea.
Majibu ya swali lako.
Kama watendaji wa vijiji kwa huko kwenu hawana EFD machine Fanya hivi.
Hapo uliponunua mzigo wako Muulize ntawezaje kukatia risiti huu mzigo. Huwa wanajua ni wapi.
Pili ikitokea hajui Basi Fanya hivi Nenda kwenye Yale mageti (ushuru wa mazao) yako barabarani waambie wakukatie risiti
FrancisSawa, ila haya yafanyike
Kwa kuangalia aina ya bidhaa, jamani, hadi chakula?, mtaua watu njaa
Jangwani pale wapo wanatega kuna wakati fulani nilipakia sub woofer box kadhaa nmetoa kwenye godown napeleka jangwani kuzituma mkoaa pale jangwani walitupiga tanchiFrancis
Hizi mambo mwenyewe naandika ila naumia maana yameshanitesa sana. Ndio maana nahitahidi kufunguka sana ili wenzangu wasikutwe na haya mambo. Lakini watu baadhi wanafanya kama utani hivi. Ila nawaambia usiombe hawa TRA wakukute na hiyo ishu halafu afisa awe ni chalii tu utajuta. Siku moja Mimi nimekatia mzigo risirt vizuri tu na picha niliipiga lakini ile risiti ilipotea nimefika pale makuyuni naambiwa risiti siioni nikawambia Hii hapa kwenye simu, ilikuwa balaa maana tuliongea takribani masaa matatu hapo
AiseSina hamu nao, walishawahi kumhujumu mzee wangu miaka ya 90s' mpaka akafunga kiwanda chake cha kutengeneza furniture.
Mkuu hiyo kodi hatozwi mwenye nyanya, hiyo kodi anaitwa msafirishaji yaani mwenye gari.Biashara yenyewe ya nyanya
Hakuna biashara yenye risk kama nyanya
Kwanza kuoza kingine soko lenye halieleweki
Unaweza ambiwa bei ya tenga leo ni 27000
Ukafika sokoni unambiwa bei ni 15000 kwa tenga
Haya sasa nenda kawauzie wakina wakina baresa na wengine uone wakatavyo kugarazaaa .
Ova
Ikiwa kodi hii ni ya ushauri wa mazao, iweje kasha chache za nyanya zisizo zaidi tank moja adaiwe ushuru/kodi?Kwa wasioelewa Ni hivi kama we ni mnunuzi wa mazao vijijini au mazao ya mbogamboga Kama nyanya,karoti n.k unachotakiwa kua nacho Ni tax clearance kutoka TRA ambayo ndio unaitumia kukatiwa ushuru wa zao ulilobeba na unapopakia kwenye gari mmiliki wa gari au dereva anatakiwa kukupa risiti ya EFD. Kwa hiyo unapokutana na watu wa TRA watachodai kwako ww mfanyabiashara wa mazao Ni tax clearance na risiti ya ushuru na dereva atatakiwa kuonyesha risiti ya EFD.
UjingaNdio maana tumeweza kununua ndege zetu. Na Mheshimiwa akiwatembelea kwenu, ukilia: Oooh! Mzee hatuna Kituo cha afya, jibu: "Hivi Waziri wa Fedha yupo hapa kweli?" Pembeni yake:"Nipo Mkuu". Amri: "Hebu sasa hivi idhinisha Tshs Bilioni mbili kijengwe kituo cha Afya hapa ndani ya miezi mitatu tu!! Kinyume na hapo ujitathmini kama hiyo nafasi inakutosha. Nadhani nimeeleweka". Jibu kutoka pembeni: " Umeeleweka Mkuu". Mkuu anaendelea: "Hilo limekwisha, kuna lingine?" Kimya!! Mkuu: "Jamani twendeni zetu"
Zimeshaenea kila konaWatendaji wa vijiji vyipi unaongelea mkuu? Au ni huko kijijiji kwenu mkuu.. mimi niko tandahimba uko katikati mtendaji wa kijiji hajui chochote kuhusu efd machine halafu anatokea mtu kama wewe unasema nikachukue risiti kwa mtendaji wa kijiji, sasa nashindwa nikuelewe vip maana watendaji unaowaongelea wewe hawana elimu kuhusu iyo efd machine.
Kama mimi dreva nipo newala, katavi uko ndani ndani napataje iyo risiti?
Hilo unalosema ni agizo la raisi ni maneno tu. Ila mambo kwa ground ni tofauti.Ikiwa kodi hii ni ya ushauri wa mazao, iweje kasha chache za nyanya zisizo zaidi tank moja adaiwe ushuru/kodi?
Zingatia agizo la Mh.Raisi Magufuli kuhusu ushuru wa mazao chini ya tano moja.
Mkuu si kweli kuna siku nimepanda gari dogo limebeba boksi 27 za nyanya toka shamba la jirani hadi hapa Dar jamaa hawakutozwa ushuru wa mazao.Hilo unalosema ni agizo la raisi ni maneno tu. Ila mambo kwa ground ni tofauti.
Hata uwe na Gunia tano Utalipa ushuru tu
Sheria zipo je nani yupo kuzifafanua hizo sheria katika lugha nyepesi, sio kila mtu anajua lugha ya kigeni au anajua lugha za kisheria,watu waelimishwe kuliko kupewa adhabu sanaTax administration act s86(1)(b), failure to issue fiscal receipt
Nadhani Benki zitakosa fedha toka kwa wafanyabiashara.kwa sababu sheria inawapa TRA kufunga na kukomba hela za watu.hiz ni nguvu za kupita kiasi kwa kweliKipo kilio kwa wafanyabiashara wenye deni la kodi kufungiwa kutoa pesa " Agency notice" waraka wa TRA maelekezo bank husika ya mteja. Waziri wa fedha, biashara nk washauri vinginevyo watu wengi wawezao wataepuka mfumo wa bank hivyo kuharibu mfumo mzima wa uchumi!