Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
propaganda hakuna kitu
mfano wa kwanza kabisa ni tpa....zamani walikua wanajilipa mishahara wenyewe na miradi ya maendeleo kuifanya wenyewe ila sasa ivi pesa zote zinaenda hazina na huko ndio wanapanga mlipwe mishahara au msilipwe kwa wakati....Zamani local government na taasisi nyingine za serikal zilikuwa zikikusanya na kutumia fedha zake kulingana na mahitaji ya eneo/mamlaka husika na hivyo kuboresha huduma na miradi kwa wakati.
Siku hizi TRA inazikusanya na inazitangaza kama sehemu ya mapato yao.Alafu Kuna urasimu kuzirudisha toka hazina kwenda kwa wamiliki na hivyo kusababisha huduma,malipo,madeni,miradi n.k kukwama. Alafu TRA inajisifia!
Kufungua kesi inawezekana lakini kupata uamuzi wa Mahakama huru HAIWEZEKANI!!. Kama huyajui haya basi hayajakupata au wewe ni MNUFAIKA wa mfumo.Mkuu siku zote hizo bado unalialia tu, weka ushahidi au fungua kesi. Hizi blah blah za JF hazisaidii. Kama wewe una uchungu na nia dhabiti nenda kafungue kesi. Tanzania ni nchi huru kila raia ana uwezo wa kufungua kesi. Majungu na kusambaza mipasho zilipendwa weka ushahidi mahakamani ndio kazi zao hizo.
Mahakama za Tanzania zipo huru porojo zenu hizo ambazo tumezizoea. Hujawahi kufungua hata kesi moja then unakuja kulialia kama katoto kadogo - Aibu!Kufungua kesi inawezekana lakini kupata uamuzi wa Mahakama huru HAIWEZEKANI!!. Kama huyajui haya basi hayajakupata au wewe ni MNUFAIKA wa mfumo.
Obviously you jumped to a conclusion without knowing the facts. That is why since JPM took over the presidency the country has progressed to where it is today. On every aspect Tanzania has performed better than the Tanzania prior to 2015. If you can't see that there is something wrong with your thinking.We always have to aim higher, get better!! That means we have to challenge ourselves, challenge the things we do - always!! We do not, i repeat NOT sit on achievements and sip a drink!!! We cannot just sit and appreciate things we have done and forget thousands of things we have either not done right, or not done at all. And for your information - it is an illusion to think there are countries to be explored!! This is not how you challenge a mind of a fellow citizen - challenge a fellow with a fact, not hypotheticals, spins and backflips!!
Unaweza kutoa ushahidi kama mimi ni mnufaika wa mfumo? Tuache propaganda, kesi ngapi Serikali inashindwa mahakamani?Kufungua kesi inawezekana lakini kupata uamuzi wa Mahakama huru HAIWEZEKANI!!. Kama huyajui haya basi hayajakupata au wewe ni MNUFAIKA wa mfumo.
Wewe utafurahi kuondolewa kazini ili kupunguza matumizi?bil 600 ni pesa nyingi mno katika kulipa mishahara hapa ni lazima ubuniwe utaratibu wa namna wa kulipunguza hili wataalamu wabobezi wakisaidiwa na wa nje wakae chini waone ni jinsi gani tutatumia ELECTRONIC DIVICES kukusanya zaidi na kupunguza watumishi ambao shughuli zao zinaweza kufanywa na vifaa vya kikompyuta automatically
No progress is being recorded in this country since 2015, instead we have stagnated economically. Look at unemployment rate that is persistently rising, banking sector poor performances, agricultural sector shrinking (Cashewnuts and tobacco), tourism nose dive and growth of machinga cadre at every place. The reported 7.2% growth is not only a myth but a faked number as usual.Obviously you jumped to a conclusion without knowing the facts. That is why since JPM took over the presidency the country has progressed to where it is today. On every aspect Tanzania has performed better than the Tanzania prior to 2015. If you can't see that there is something wrong with your thinking.
BTW if you are not happy with what is being done in Tanzania, you are free to ''explore'' other countries. Tundu Lisu, Lema etc. have done that, also Oscar Kambona left in the 1970's or earlier and many more. As we speak there are millions of Tanzanians who have decided to stay away from Tanzania for many different reasons. Its up to you kusuka au kunyoa.
BTW What does explore mean to you?
Kwa akili ya mawazo yako na arguments zimaonyesha unatetea masilahi uliyofaidi kama mmoja wa wanaopendelewaUnaweza kutoa ushahidi kama mimi ni mnufaika wa mfumo? Tuache propaganda, kesi ngapi Serikali inashindwa mahakamani?
Ni upuuzi sanaZamani local government na taasisi nyingine za serikal zilikuwa zikikusanya na kutumia fedha zake kulingana na mahitaji ya eneo/mamlaka husika na hivyo kuboresha huduma na miradi kwa wakati.
Siku hizi TRA inazikusanya na inazitangaza kama sehemu ya mapato yao.Alafu Kuna urasimu kuzirudisha toka hazina kwenda kwa wamiliki na hivyo kusababisha huduma,malipo,madeni,miradi n.k kukwama. Alafu TRA inajisifia!
Ni kwa wale tu ambao shughuli zao zinzweza kufanywa na automatic divices lakini kama polisi wanajeshi walimu madaktari hapa hakuna mjadala ni wa kuongeza tuWewe utafurahi kuondolewa kazini ili kupunguza matumizi?