minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Upumbavu unao wewe mbweha nenda benk kasikie malalamiko ya wateja waliofungiwa kienyeji kinyume cha Sheria, wewe ni mnufaika wa huo uonevu ndiyo maana unatetea upumbavu wako kwa visingizio vya kifala, wanafunga Account nyingi kienyeji pasipo kufuata utaratibu wala Sheria acha kutetea ujinga ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa wamehamishia pesa zao nje ya Nchi, hakuna Sheria kwenye utawala wenu mnatumia ubabe tu, Afisa wa TRA akifika kwenye Account ya mfanyabiashara huwa juu ya Sheria na wengine huwatishia kuwabambikia kesi kesi utakatishaji fedha uhujumu uchumi ili mfanyabiashara awe muoga ashindwe kudai haki zake, uonevu upo hata uje na utetezi gani hakuna wa kukusikiliza kwani wewe ni mnufaika wa huo uonevu na unyanyasaji kwa wafanyabiasharaWe ni mpumbavu hakuna mfanyabiashara amefungiwa account bila taarifa. We hujui lolote ni mpiga kelele kama mafala wengine. Watu wanahangaika kuhakikisha kodi ya serikali inapatikana au umesikia akaunti zikifungwa hizo pesa zinaenda mifukoni mwa maofisa wa TRA? Ficha upumbavu wako mara moja. Kama unadhani TRA wanakula RUSHWA kawakamate sio unaingiza wivu wa kike mbweha wewe. Yani watumishi wa TRA wasiwe na maisha mazuri basi rushwa acheni uboya. Mishahara yao mizuri mazingira ya kazi sehemu nyingi mazuri kwann wasiwe na maisha mazuri? Acha wivu wa kike UT@0MBWA. Kila siku kusema vibaya TRA wakati mnalalamika hudumu za jamii mbovu. Hao takukuru hutegemea hizo kodi walipwe vimishahara vyao mbuzi. Huwa nikiona mtu anawakatisha tamaa TRA namuona boya kweli. Kila siku watumishi wasiowaamifu mara hivi. Wakitoa tangazo la kazi nenda kaombe na ww uwe mtumishi wa TRA.