Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Uso
Ukiona mtu analalamika kupanda kwa gharama za maisha ujue alikuwa ni mlafi wa pesa zisizo halali kwake, sasa anazikosa ndio maana kwake anaona gharama ya maisha ipo juu.
Kabla hujaandika kitafakari kwanza unachokiandika usihemkwe. Chuki humchoma anayeihifadhi
Usihemkwe jenga hoja jadidi.UPUMBAVU wa hali ya juu huu. Wafanyakazi wa Serikali hawajaongezewa mishahara tangu 2014. Gharama za maisha katika hii miaka sita zimepanda sana hadi kusababisha wafanyakazi wengi kuwa na madeni chungu nzima ili kukidhi gharama za maisha, halafu ZWAZWA wewe unadai huyo anayejiita mwendawazimu amefanikiwa sana!!! 😳😳😳Akili za wapi hizi!?