TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

Usihofu mkuu ni suala la muda lili ahidiwa wakati wa uchaguzi!

Ipo haja ya serikali ama kupunguza mishahara ama kupunguza wafanyakazi pesa zinazotumika kulipia mishahara tu ni nyingi Sana.
Mkuu, stroke watumishi wanahitaji na kustahili nyongeza ya mishahara, Chama kililiona hili kupitia utafiti wake, hivyo kuliweka kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 na ahadi za mgombea Urais. JPM ni mkweli, msikivu, mwaminifu aki ahidi anatekeleza!
 
Sidhan kama ni. Ushaur mzur!!, money for people, or people for money. Workers ndo wanaleta Hiyo pesa, mission is about people. Unaioona b600 ni nyingi sn kwakutumia angle ipi of argument?View attachment 1665260
Amini usiamini utumiaji zaidi wa vifaa vya kisasa na mfumo wa komputer debit credit card imekuwa msaada mkubwa sana katika dunia ya leo let say serekali zingine za ulimwenguni hulazimisha kutotumia cash katika malipo ya kiwango fulani mf ukinnunua kitu kinachozidi 100000 huruhusiwi kulipa kwa cash utatumia card tu. haya yameisaidia sana ulaya na kwingineko.
 
Kwa hizi akili fupi mtaendelea kulalamika humu mitandaoni milele. Aliyesema mwalimu aache kazi nani? Mimi ni mfugaji we jamaa. I know what I'm talking about. Kununua inputs zenye kodi hakuiondolei bidhaa yako wajibu wa kulipa kodi.

Msichojua ni kwamba sekta kama hizi zikirasimishwa zitawapunguzia mzigo watumishi ambao mzigo wa kodi waliobeba ni mzito sana.

Uko sahihi kabisa, mwalimu akipata matatizo huko kazini analipwa stahiki zake zote, je ww kuku wako wakifa kwa ugonjwa, serikali itakulipa hiyo hasara? Jibu tafadhali ili nione hiyo akili yako ndefu.
 
Nimecheka kwa nguvu, nendeni mkawalishe wananchi wasio na uelewa wa kutosha juu ya hiyo rekodi. Na ili muwadhibitishie kuwa mmekusanya sana, jengeni yale madarasa yanayopelea haraka.
Ni lazima ucheke wewe si kiazi, na umejigundua kuwa ni kiazi ndio maana umejicheka.
 
Sasa November 2008 kama ni mtenda maovu si angestahili kuwa lupango tena kwa mvua nyingi sana? Unadhani kwanini Mkapa alitaka tume huru na kura kuhesabiwa hadharani ili kuhakikisha uchaguzi ni huru na wa haki? Wapumbavu kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini na Nchi hii haitaendelea kwa wapuuzi kama nyinyi kuwa na ufinyu mdogo sana wa akili.
View attachment 1665139
Kitu kimoja nilichogundua kutoka kwako, yani wewe ni kilaza, umemezeshwa matakataka na matango pori mengii, sasa kinachokuponza unayatapika hayo matakataka hata sehemu isiyofaa. Jitafakari kwanza
 
Kitu kimoja nilichogundua kutoka kwako, yani wewe ni kilaza, umemezeshwa matakataka na matango pori mengii, sasa kinachokuponza unayatapika hayo matakataka hata sehemu isiyofaa. Jitafakari kwanza
Amemezeshwa Matango pori na Mkapa?
 
Kipindi jk yupo madarakani mishahara ilikuwa bilioni 50 kwa mwezi na vyeti feki na watumishi hewa walikuwpo sasa mbona gape imekuwa kubwa sana bilion mia 60 now ila ccm janga
Nafasi za watumishi wa vyeti Feki vilishajazwa, ajira mpya nyingi zikiwemo 13,000 za walimu, lazima hesabu ibadirike!
 
Nasema hivi, acheni kuchangisha wananchi madarasa kwa lazima, toeni hapo kwenye hizo hela za rekodi mkajenge madarasa.
Michango ya hiari ipo , kama ulivyochangiwa kwenye harusi yako. Kwa wazalendo hii ni fursa ya kujenga Nchi, ila kwa wapinga maendeleo hilo ni janga wanatamani kuwazuia hata wazalendo kuchanga kama unavyofanya sasa!
 
Kipindi jk yupo madarakani mishahara ilikuwa bilioni 50 kwa mwezi na vyeti feki na watumishi hewa walikuwpo sasa mbona gape imekuwa kubwa sana bilion mia 60 now ila ccm janga

Mkuu pitia tena vyanzo vyako vizuri, nadhani ilikuwa ni 500b+, na sio 50b.
 
Siyo imevunja rekodi hata thamani ya pesa haionekani,, wenyewe ni kukusanya tu hawajui jinsi tunapata tabu sisi wafanya biashara
Ninakuelewe, kwa kuwa hatukuwa na utamaduni wa kulipa kodi, hakuna namna lazima tuijenge Nchi yetu wenyewe!
 
Watumishi wanatunyonya Sana, yaani karibia nusu ya pato kwa mwezi wanachukua wao, na bado wanadai nyongeza,

Sioni kama Taifa namna tunaweza fanya maendeleo kama kipato almost chote tunalipana mishahara tu.
Mishahara lazima iendane na purchasing power of money na kuzingatia mfumuko wa bei.
 
Kipindi jk yupo madarakani mishahara ilikuwa bilioni 50 kwa mwezi na vyeti feki na watumishi hewa walikuwpo sasa mbona gape imekuwa kubwa sana bilion mia 60 now ila ccm janga
Kumbuka kuna ajira mpya,pia watumishi wanastaafu kila mwaka,usikariri kuwa figure itabaki kuwa bil 500+
 
Michango ya hiari ipo , kama ulivyochangiwa kwenye harusi yako. Kwa wazalendo hii ni fursa ya kujenga Nchi, ila kwa wapinga maendeleo hilo ni janga wanatamani kuwazuia hata wazalendo kuchanga kama unavyofanya sasa!

Soma post yangu vizuri, sina tatizo na michango ya hiari, nimesema acheni kuchangisha wananchi kwa lazima. Hilo neno sikuliweka kwa bahati mbaya. Na kwa taarifa yako, kijiji ninachotokea mimi, nilijenga darasa moja kwa pesa yangu ya mfukoni mwaka 2014. Na nikawanunulia tanki la Maji la lita 5,000 mwaka 2017. Ww jifanye muunga mkono maendeleo kwa sifa za mdomoni, sisi tunafanya bila kutaka sifa za kisiasa.
 
Zamani local government na taasisi nyingine za serikal zilikuwa zikikusanya na kutumia fedha zake kulingana na mahitaji ya eneo/mamlaka husika na hivyo kuboresha huduma na miradi kwa wakati.

Siku hizi TRA inazikusanya na inazitangaza kama sehemu ya mapato yao.Alafu Kuna urasimu kuzirudisha toka hazina kwenda kwa wamiliki na hivyo kusababisha huduma,malipo,madeni,miradi n.k kukwama. Alafu TRA inajisifia!
Wananchi walilalamika Halmashauri kuna "Mchmwa", urasimu (bureaucracy) kwenye Fedha ni lazima popote Duniani! Wote waliojipanga mbona wanapata Fedha vizuri tu! Ukweli ni kuwa Taasisi hizo zilikusanya mabilioni, kuzitumia ovyo na kuja na bakuri Serikali kuu hatuna Fedha. Udhibiti (checks, balances, controls) zimeongezeka malalamiko tuyategemee, ukiona manyoya ujue kesha liwa huyo!
 
Soma post yangu vizuri, sina tatizo na michango ya hiari, nimesema acheni kuchangisha wananchi kwa lazima. Hilo neno sikuliweka kwa bahati mbaya. Na kwa taarifa yako, kijiji ninachotokea mimi, nilijenga darasa moja kwa pesa yangu ya mfukoni mwaka 2014. Na nikawanunulia tanki la Maji la lita 5,000 mwaka 2017. Ww jifanye muunga mkono maendeleo kwa sifa za mdomoni, sisi tunafanya bila kutaka sifa za kisiasa.
Hongera kwa hilo, Mimi hata leo nachangia upanuzi wa madarasa kwa ajiri ya kidato cha kwanza 2021! Sikulazimishwa, niliombwa tena na Mwenyekiti wa mtaa, nipo Dar nimetuma fedha za kununulia vifaa vya ujenzi kama alivyobainisha mahitaji, hakuna lazima!
 
Soma post yangu vizuri, sina tatizo na michango ya hiari, nimesema acheni kuchangisha wananchi kwa lazima. Hilo neno sikuliweka kwa bahati mbaya. Na kwa taarifa yako, kijiji ninachotokea mimi, nilijenga darasa moja kwa pesa yangu ya mfukoni mwaka 2014. Na nikawanunulia tanki la Maji la lita 5,000 mwaka 2017. Ww jifanye muunga mkono maendeleo kwa sifa za mdomoni, sisi tunafanya bila kutaka sifa za kisiasa.
Acha nicheke. Yaani ulijitolea mil 40? Na ukanunua tank la mil 2? Labda?
 
Sio hivyo, kodi ya serikali/ TRA kwa wafanyabiashara/ wenye maduka ulipwa kila baada ya miezi 3, kwahiyo mwezi wa 12 ulikuwa ni muda wa mwisho wa kulipa kabla ya kuingia mwaka mwingine, kwahiyo wote wenye madeni ya mwaka mzima walifuatiliwa na kulipa ndio maana turnover imekuwa kubwa.
Jamani mbona hili liko wazi sana! Disemba 2020 sisi wazee wa lala salama tumelipa madeni yote , returns za VAT, kodi za TRA, mishahara imelipwa kwa wakati kodi ikakatwa na kuwasilishwa mapema, Maduhuli ya Serikali, kodi za ardhi, kodi za majengo nk. Wengine tumelipa mpaka saa tano usiku, unaomba Namba ya utambuzi (Control Number) ,unalipa mwenyewe GePG inathibitisha shida ni nini, mapato kuwa mengi?!
 
Aongeze basi mishahara hata kwa hao TRA wanaingia lawama kila kona kutimiza lengo la makusanyo walilopewa na Rais.
TUWE NA SHUKRANI NA WATU WANAOUMIA KWA AJILI YETU.

Wamesaidiwa na (DPP Revenue Authority- DRA)
Kwa taarifa yako Serikali ni moja, iwe DPP, Maliasili, Ujenzi, Wizara ya Ardhi halmashauri unaongelea Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya JPM. Unatuambia kuwa yale malipo dukani kwangu hukunilipa mimi, ulimlipa mke wangu, Dada yangu, Kijana wangu au mtumishi wangu wa dukani. Ni kweli hayo yote ni mapato halali ya duka langu, bila kujali nani kapokea au kuuza! Vyombo vya Serikali vimekasimiwa majukumu mbalimbali ili kuongeza ufanisi, kutoa huduma bora na kusaidiana na wananchi na vyenyewe kwa vyenyewe kufikia malengo ya Serikali. TRA kushitaki Mahakamini, polisi, kuboresha sheria, kuiomba Wizara ya Ardhi, Mwajiri wako nk kusaidia kukusanya mapato haiinyimi haki TRA kukusanya Fedha hizo.
 
Acha nicheke. Yaani ulijitolea mil 40? Na ukanunua tank la mil 2? Labda?

Darasa nilijenga mwaka 2014 kabla ya wapenda sifa kuingia madarakani, na darasa halikuvuka 6m, nililipa vijana wakachoma matofali, pickup yangu ikabeba hayo matofali. Mbao za kupaua zilikuwa za mnazi bei karibu na bure. Water tank la lita 5,000 nilinunua kwa 720,000, kusafirisha pamoja na guter, gharama nzima mpaka kulifunga haikuzidi 800,000. Na sasa nawasaidia wanafunzi 10, 7 wakike na watatu wavulana uniforms na madaftari, maana elimu ni bure. gharama zote hizo hazifiki 1m. Inaonekana hujui bei za vitu boss. milioni 40 ni nyumba self contained yenye room 3 za kulala na garden ya kuweka mbogamboga. water tank la shilingi 2m ni la lita 10,000.
 
Back
Top Bottom