TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

mfano wa kwanza kabisa ni tpa....zamani walikua wanajilipa mishahara wenyewe na miradi ya maendeleo kuifanya wenyewe ila sasa ivi pesa zote zinaenda hazina na huko ndio wanapanga mlipwe mishahara au msilipwe kwa wakati....
 
Kufungua kesi inawezekana lakini kupata uamuzi wa Mahakama huru HAIWEZEKANI!!. Kama huyajui haya basi hayajakupata au wewe ni MNUFAIKA wa mfumo.
 
inawezekana ushuru wa mpunga niliolipa wilayani umesoma TRA haaaa haaaa
 
Kufungua kesi inawezekana lakini kupata uamuzi wa Mahakama huru HAIWEZEKANI!!. Kama huyajui haya basi hayajakupata au wewe ni MNUFAIKA wa mfumo.
Mahakama za Tanzania zipo huru porojo zenu hizo ambazo tumezizoea. Hujawahi kufungua hata kesi moja then unakuja kulialia kama katoto kadogo - Aibu!

Watu wengi wanafungua kesi na wanashinda, nyie kalieni story za vijiweni.
 
Obviously you jumped to a conclusion without knowing the facts. That is why since JPM took over the presidency the country has progressed to where it is today. On every aspect Tanzania has performed better than the Tanzania prior to 2015. If you can't see that there is something wrong with your thinking.

BTW if you are not happy with what is being done in Tanzania, you are free to ''explore'' other countries. Tundu Lisu, Lema etc. have done that, also Oscar Kambona left in the 1970's or earlier and many more. As we speak there are millions of Tanzanians who have decided to stay away from Tanzania for many different reasons. Its up to you kusuka au kunyoa.

BTW What does explore mean to you?
 
Kufungua kesi inawezekana lakini kupata uamuzi wa Mahakama huru HAIWEZEKANI!!. Kama huyajui haya basi hayajakupata au wewe ni MNUFAIKA wa mfumo.
Unaweza kutoa ushahidi kama mimi ni mnufaika wa mfumo? Tuache propaganda, kesi ngapi Serikali inashindwa mahakamani?
 
Ni kweli TRA wamekusanya hizo Tril 2, ila bado hawajapanua (aka prof Tibaijuka) wigo mpana wa ukusanyi kodi, jitihada bado zinahitajika, wanatakiwa kubadili biashara ndogo zote ziwe za kati na kazi ziwe za juu, wasifocus kuwatoza kodi wafanya biashara wale wale kila mwaka. Mfano hakuna haja ya kuwa na wafanya biashara wengi wakifanyia biashara barabarani, magengeni, takribani 60% ya watanzania wanafanya biashara ndogo ndogo ambazo hazitambuliki na TRA, kiasi kwamba serikali haipati mapato, hivyo wangejenga majengo ya biashara kila mahali nchini na kuwafanya watu wanyie biashara ndani, na wakaleta mkandarasi wa machine za EFD zikazalishwa hapa hapa nchini ili wafanya biashara wazipate kwa bei nafuu hata elfu 50, hawa 60% wote wakiwa na machine hizo hata wakilipa shilingi 20 kwa kila wakiuza iende serikali kama mapato ni pesa nyingi kuliko kuwaza kila siku kila mwaka wafanya biashara ni wale wale na bei za EFD laki 590 unadhani mfanya biashara mdogo mwenye mtaji wa mil 2 ni mjinga kiasi gani eti aanze biashara yake kwa kununua EFD za lakin tano na ushee?
 
Wewe utafurahi kuondolewa kazini ili kupunguza matumizi?
 
No progress is being recorded in this country since 2015, instead we have stagnated economically. Look at unemployment rate that is persistently rising, banking sector poor performances, agricultural sector shrinking (Cashewnuts and tobacco), tourism nose dive and growth of machinga cadre at every place. The reported 7.2% growth is not only a myth but a faked number as usual.
 
Unaweza kutoa ushahidi kama mimi ni mnufaika wa mfumo? Tuache propaganda, kesi ngapi Serikali inashindwa mahakamani?
Kwa akili ya mawazo yako na arguments zimaonyesha unatetea masilahi uliyofaidi kama mmoja wa wanaopendelewa
 
Ni upuuzi sana
 
Wanufaika wa mfumo kandamizi wapo busy kuutetea uonevu unyanyasaji wao kwa wafanyabiashara
 
Wewe utafurahi kuondolewa kazini ili kupunguza matumizi?
Ni kwa wale tu ambao shughuli zao zinzweza kufanywa na automatic divices lakini kama polisi wanajeshi walimu madaktari hapa hakuna mjadala ni wa kuongeza tu
 
Minyoo inawezekana kuwepo kwa mapungufu kidogo kwenye swala la walipakodi kubambikiwa kodi lakini pengine ni % ndogo sana, sikatai sababu Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!

Na ikithibitika kama hilo tatizo lipo inabidi uongozi wa TRA kushughulikia hiyo kero ikomeshwe.

Maana si jambo zuri kumbambika mtu kodi sababu kodi inauma!

Kanuni mojawapo ya kodi ni kutenda haki, serikali ipate chake na mlipakodi akadiriwe na alipe stahiki yake.

Minyoo kwa hiyo wewe unaona upande wa walipakodi hakuna tatizo kabisa?

Kwa hiyo unaamini walipakodi wote wana comply by 100% accordingly?

Kama siyo nilitarajia uweze kubalance ktk namna yako ya kujadili lakini naona kama umejikita ktk kuwashambua hao TRA tu.

Fikiria kizalendo zaidi, changia mada kizalendo zaidi, jadili mada kizalendo zaidi.


Pia jaribu kutafuta kujua zaidi matharani Tax clearances hutolewa ktk mazingira gani?

Kuna baadhi ya mambo you are not well informed for sure.

Take time to know and get informed well.

Kumbuka ni kupitia kodi watu wakiumwa wanakimbizwa hospitali kupata matibabu, walinzi watu yaani askari wanaotulinda sisi na mali zetu wanalipwa kupitia kodi n.k

Tupo pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…