TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

Nilipobisha nilileta hizo statements, wewe ukasema zipo zingine ambazo hazikupata hizo faida ndio nikakuomba uzilete kama mimi nilivyoleta.
Leta statements za benki Nje ya CRDB,NMB na NBC.

Mbona nimekuwekea tangazo la BoT wakifunga Benki awamu ya 5?

Saizi umesikia benki zinalalamika.kutaka kufirisika?
 
Mkuu kama kweli faida ilikuwa inaongezeka kila mwaka, ilikuwaje overall profit kuanzia mwaka 2015 mpaka 2017 ishuke mpaka 287b.

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1024660238794940417?t=rWuiKbvpE2yTgesnHhEq_w&s=19Wewe ulicholeta ni zile bank ambazo ni first tier lenders na ambazo nyingi Zinafanya kazi na serikali na ukiweka mfano wa nmb na crdb sio fair sababu 90% ya watumishi wanaakaunti huko, hivyo bado uhakika wa deposits unakuwepo.
Hapa mlinganisho mzuri ulipaswa uwe kwenye bank ambazo hazina mahusiano na serikali kama azania, equity na kadhalika sio standard au nmb
 
🤣🤣 Umepanic ,Sasa unaonesha jinsi ulivyo wa hovyo 😆😆

Ndio nakwambia Sasa kwamba ni lini na wapi uliwahi ona TRA imefikia 100% au kuvuka malengo kama awamu hii ya Mwenda/Samia.
 

Attachments

  • IMG_6078.png
    736.7 KB · Views: 1
Hizo statements nimeziweka hapo juu? Ushasahau?
Umeweka statement za crdb na nmb ambazo kiuhalisia sio fair sababu pamoja na mengine yote still yet hizo ni bank za watumishi hivyo bado zenyewe hazikudhuriwa na liquidity crunch ya kipind cha miaka ya 2015 mpaka 2020 . Leta za benk kama azania bank, bank m au benk zozote ambazo hazidili sana na serikali ila zimejiweka sana kwenye mikopo ya wajasiliamali kama equity. Zikiwa sawa basi utakuwa uko sawa
 
Source ni Maria au the citizen?

Kabla ya kwenda mbali kuhusu hizi financial statements pitia bank profits hapa kwa source ya The citizen kwa case study ya bank ya NMB kwa mwaka 2014,2015 na 2016 alafu compare na statement ya NMB. Kuna kitu utajifunza alafu tutaendelea na hii dialogue

NMB wenyewe


Soma na Hawa the citizen walichoweka
 
Ndio the Citizens wamenukuu taarifa za Bank ya NMB na wahusika hawajawahi kanusha.

Nimekuwekea Hadi BoT iki merge Banks kisa kufilisika sijui wewe unataka taarifa zipi hasa
 
Ndio the Citizens wamenukuu taarifa za Bank ya NMB na wahusika hawajawahi kanusha.

Nimekuwekea Hadi BoT iki merge Banks kisa kufilisika sijui wewe unataka taarifa zipi hasa
View attachment 3190730
Sijui hata umeelewa tulichojadili. Tumejadili profits kupanda na kushuka

Hili la bank baadhi kucollapse tulijadili Jana, niliuliza mwaka jana 2023 USA bank zaidi ya 3 zilikufa tafsiri yake uchumi wa USA umekufa? Umeshuka sana? Hata sasa kuna wasiwasi mkubwa banks zingine zikafa huko USA, je USA Wana sera mbaya za uchumi? Uchumi wao umekufa?
 
Kiongozi tuachane na haya maneno. Naomba financial statement ya exim bank kwa miaka 10

Au ya stanbic bank kwa miaka 10 tusome trend ipoje. Nadhani tumalizie hapa huu ubishi
umezungumzia kuwa faidaimekuwa ikipabda wa bank , unawez kutueleeza k nni kuliko na mporomoka wa faida wa faida kwa crdb kuanzia mwaka 2016


ila faida ya mwaka 2014 na 2013 ikwa ni kubwa kuliko hata ya mwaka 2019 na 2018 umaweza kueleza sabab
ya inconsistency ya mapato
 
Hizo ndio two Giants. Lakini ni ruhusa wewe kuketa financial statements za banks zingine kwa hiyo miaka. Hapo utakua umesaidia sana
nimkuletea financial statement ya crdb zikioneha kushuka kwa mapato kuanzia 2016 mpaka 2017 huku yale ya mwaka 2014 na 2013 yakiwa twice ya hio miaka hiyo ni kwa crdb , fiiria kwa benk ndogo kama faida ya cdrb kwa 2017 lishuka kwa zaidi ya 40% fikiria kwa benk ndogo hali ilikuwaje
 
Mkuu umeweka screenshots ambazo bado ni mashkolo, najaribu kukuelewa alafu nashindwa.

Labda nieleze in a plain language hao crdb Faida kwa mwaka 2013 ilikuaje, 2014 ilikuaje, 2015, ilikuaje 2016, ilikuaje, 2017,2018,2019 na 2020.
 
Highlights hizo faida za hiyo crdb from hiyo 2013. In a plain language

Pia kutoka hiyo 2016,2017 kuelekea 2020 napo ilikuaje.

Nimejaribu kukuelewa ulicholeta but sijakuelewa
 
Kicheko kwa wachache
 
Highlights hizo faida za hiyo crdb from hiyo 2013. In a plain language

Pia kutoka hiyo 2016,2017 kuelekea 2020 napo ilikuaje.

Nimejaribu kukuelewa ulicholeta but sijakuelewa
point yako ilikuwa bank zimekuwa zikiripot ongezeko kila mwaka na sababu yako kuu imekuwa ni inflation sasa hoja imekuja kama zilikuwa zinaripoti ongeeko la faida ikawaje mwaka 2016 to 2017 zikadrop almost by a half wakatvalue ya dollr iikuwa juu zaid ya mwaka 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…