TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

Na makusanyo yamepanda mara mbili ya ya pale na vitu vinaonekana tunaweza fanya ukaguzi tukaziona pesa zimeenda wapi tofauti na kipindi cha mwendazake ambapo ujenzi ukiwekwa chini ya ikulu na hakukuwa na auditing yoyote
9 Nov 2021 — Deni hilo la taifa linalofikia kiasi cha shilingi trilioni 78
 
Hongera sana tumevuka lengo kwa 3% ila bungeni wanasema bajeti haitoshi
Bado makusanyo ni kidogo atleast tungefikq tril 10 kwa mwez ndo tunaweza jitosheleza na ili tufike hapo lazima tuvutie uwekezaji mkubwa na ndo kinachofanyika sasa hivi, matokeo ya walau yataanza onekana kuanzia mwaka huu, maana hata viwanda vingi ndo vitakuwa vimeanza kuoperate
 
Saa100 amekopa over 20 Trillions kwa miaka mitatu TU!😭😭😭
Swali moja unalotakiwa kujibu , je kipindi anaingia miradi iliyokuwa imeanzishwa na magu ilikuwa kwenye asilimia ngapi na je kulikuwa na hela?
Sgr tu ambayo kwa Sasa Kuna phase 3,4,5 ziko katika ujenzi ni Zaid ya usd 4bil almost tril 10. Jhhp ilikuwa inasuasua imekamilika kipindi hiki cha samia Zaid ya tril 2, mabehewa yote yamenunuliwa kipindi nayo ni Zaid ya trillion.
Kesi zote ambazo magu alituachia fidia imelipwa ni kipindi cha samia.
Wewe ndo utuambie magu mpaka anaondoka alikuwa kakamilisha barabara gani au mradi gani ?
We taja hata 3 aliyoikamilisha acha kuzunguka
 
Trilioni 16.5 kwa miezi 6🙃.
Waliakodi huku niliko hawalipi Kodi,hii mmekusanya kwa akina nani?
 
Aliongeza lini wakati alifariki march 2021 wakati deni likiwa trillion 78?
Wakatia anaingia madarakani deni lilikuwa kiasi gani na wakati anaondoka deni lilikuwa kiasi gani ? 2015 deni lilikuwa 17.3bil usd sawa kwa rate za sasa ni sawa na tril 42.3 ukitoa hiyo yako tril 78 unaweza tuambia hizi tril 35 magu alizifanyia nini ?
 
SGR, Bwawa la Nyerere, Daraja la Busisi, Daraja la wami, radi za viwanja vya ndege, ukarabati wa JNIA, kununua ndege 10 cash, stand za mabasi mikoani, makao makuu Dodoma etc
Kwanza ukisifia magu kununua ndege kwa cash lazima ujiulize kwanini alipe cash badala ya kufanya leasing, hakuna kampuni yoyote duniani ya vyombo vya usafiri inayonunua kwa cash pale alichofanya ni wizi Kuna percent lazima ilipitiwa na ndo maana mpaka kesho document za manunuzi hazijawahi kaguliwa.
Ila lazima tujiulize ni awamu gani kuliwahi kutokea wizi wa tril 1.5 kama sio kipind cha magu.
Magu alianzisha miradi ya barabara isiyofikia 1600 kwa miaka 5 ila alizidiwa na kikwete aliyejenga Zaid km 3000 kwa awamu yake ya kwanza tu.
 
Wewe labda ni mpumbavu, nikuulize Huwa unaishi kama kuku au? Huwa hujiwekei target zozote? Au Kuna taasisi Huwa inajiendea bila target?

Ukienda shule wewe?
Kenge wa zambarau wewe, kulipaswa kuwe na taasisi inayojitegemea inayowapangia target ili waweze ku-achieve.

Hata mining kuna department zaidi ya 10, lakini kuna department special ya planning kwa ajili ya kupanga target,

Hupanga kwa kila department ili kuona ufanisi wa taasisi moja moja na kunakuwa na bonus ukiivuka hiyo target...na kuivuka hiyo target huwa ni shughuli kweli kweli!.... maTX wanajua hili

Usiwaze kwa kutumia Makalio mkuu!

Yaani ujipangie kukusanya mil 500, ambayo unajua utaikusanya kwa wiki2, ili upewe sifa na raisi kwamba umevuka target... halafu unajisifu eti umevuka lengo!?
 
Mama Ameipandisha makusanyo kutoka wastani wa 1.5T/Mwezi mwaka 2021/2022 Hadi 2.7T/Mwezi mwaka 2024/2025 bila kuonea mtu.

Mwaka ujao wa Fedha (2025/26) itakuwa ni wastani wa Shilingi 3T yaani mara 2 ya miaka yote ya Magu.

Samia apewe maua yake
Mkuu hivyo ni vitu vya kutegemewa. Mwaka 2032/33 tutakua tunakusanyo yatakua 5 ama 6T, mara 2 am 3 ya tunayokusanya sasa, utasema rais wa 2030 atakua anafanya vizuri sana zaidi ya Samia?

Makusanyo wa mwaka huu kua makubwa kuliko miaka 2 iliyopita ni vitu vinavyotegemewa kwa sababu shughuli za kiuchumi za mwaka huu haziwezi kua sawa na mwaka 2022 sambamba na idadi ya watu.

Ama tuseme Nyerere aliekua anakusanya Milioni 8 mwaka 1965 na watu milioni 8 alikua anafanya vibaya ukimlinganisha na Samia mwenye watu milioni 70 mwaka 2025?
 
Zinaweza Kuoungua Kwa sababu za sera mbovu.

Awamu ya 5 uliwahisikia wawekezaji wanamiminika Nchini kama awamu ya 4 au ya 6?

Pili tunalinganisha percentage of growth baina ya vipindi husika
 
Kenge wa zambarau wewe, kulipaswa kuwe na taasisi inayojitegemea inayowapangia target ili waweze ku-achieve.

Hata mining kuna department zaidi ya 10, lakini kuna department special ya planning kwa ajili ya kupanga target,

Hupanga kwa kila department ili kuona ufanisi wa taasisi moja moja na kunakuwa na bonus ukiivuka hiyo target...na kuivuka hiyo target huwa ni shughuli kweli kweli!.... maTX wanajua hili

Usiwaze kwa kutumia Makalio mkuu!

Yaani ujipangie kukusanya mil 500, ambayo unajua utaikusanya kwa wiki2, ili upewe sifa na raisi kwamba umevuka target... halafu unajisifu eti umevuka lengo!?
Kwani si wanapangiwa target na wizara ya fedha kulingana na lengo la serikali
 
Mkuu hivyo ni vitu vya kutegemewa. Mwaka 2032/33 tutakua tunakusanyo yatakua 5 ama 6T, mara 2 am 3 ya tunayokusanya sasa, utasema rais wa 2030 atakua anafanya vizuri sana zaidi ya Samia?

Makusanyo wa mwaka huu kua makubwa kuliko miaka 2 iliyopita ni vitu vinavyotegemewa kwa sababu shughuli za kiuchumi za mwaka huu haziwezi kua sawa na mwaka 2022 sambamba na idadi ya watu.

Ama tuseme Nyerere aliekua anakusanya Milioni 8 mwaka 1965 na watu milioni 8 alikua anafanya vibaya ukimlinganisha na Samia mwenye watu milioni 70 mwaka 2025?
Mkuu kenya, zambia na malawi makusanyo yanazid kupungua inakuwaje hapo,
 
Back
Top Bottom