TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

Kenge wa zambarau wewe, kulipaswa kuwe na taasisi inayojitegemea inayowapangia target ili waweze ku-achieve.

Hata mining kuna department zaidi ya 10, lakini kuna department special ya planning kwa ajili ya kupanga target,

Hupanga kwa kila department ili kuona ufanisi wa taasisi moja moja na kunakuwa na bonus ukiivuka hiyo target...na kuivuka hiyo target huwa ni shughuli kweli kweli!.... maTX wanajua hili

Usiwaze kwa kutumia Makalio mkuu!

Yaani ujipangie kukusanya mil 500, ambayo unajua utaikusanya kwa wiki2, ili upewe sifa na raisi kwamba umevuka target... halafu unajisifu eti umevuka lengo!?
Wewe fala kweli, unadhani kazi ya Wizara ya Fedha ni nini kama sio kuwapangia malengo Ili wakidhi mahitaji ya Bajeti ya serikali?

Wewe hata shule hukwenda ndio maana unaropoka tuu
 
Mkuu hivyo ni vitu vya kutegemewa. Mwaka 2032/33 tutakua tunakusanyo yatakua 5 ama 6T, mara 2 am 3 ya tunayokusanya sasa, utasema rais wa 2030 atakua anafanya vizuri sana zaidi ya Samia?

Makusanyo wa mwaka huu kua makubwa kuliko miaka 2 iliyopita ni vitu vinavyotegemewa kwa sababu shughuli za kiuchumi za mwaka huu haziwezi kua sawa na mwaka 2022 sambamba na idadi ya watu.

Ama tuseme Nyerere aliekua anakusanya Milioni 8 mwaka 1965 na watu milioni 8 alikua anafanya vibaya ukimlinganisha na Samia mwenye watu milioni 70 mwaka 2025?
Mkuu shughuli za kiuchumi zinaongezeka kutokana na sera zinazovutia uwekezaji. Mfano mdogo tu 2015 kupanda mazao kama ufuta mbaaz choroko vilipoteza soko kabisa hivyo kupelekea uzalishaji wake kupungua lakini kuanzia 2023 karibia mazao yote yamezid kupanda hii imetokana na sera imeyovutia wanunuzi kutoka nje. Leo hii ukienda karibia kila mkoa kilimo kimenyanyuka sana hii inatokana na sera nzuri, ingawa bado hatujafika tunapotaka
 
Zinaweza Kuoungua Kwa sababu za sera mbovu.

Awamu ya 5 uliwahisikia wawekezaji wanamiminika Nchini kama awamu ya 4 au ya 6?

Pili tunalinganisha percentage of growth baina ya vipindi husika
Mkuu hizi stori za wawekezaji zichukulie kwa umakini sana. Huo uwekezaji nilitegemea uonekane kwenye ajira,, sasa ni uwekezaji gani huo ambao haugusi kwenye ajira ya watu, angalia idadi ya wafanyakazi wanaolipa PAYE je wanaongezeka na kama wanaongezeka je nyongeza yao inaendana na idadi ya uwekezaji unaosemwa?

Pili angalia kwenye ajira, serikali ikitangaza ajira 2 ama nafasi 2, waombaji elfu 40, sasa huo uwekezaji unaotajwa matokeo yake yako kwenye nini?
 
Mkuu gap la ajira sasa hivi linatokana na sera za miaka 2015 _2021 ambapo karibia makampuni mengi yalifunga biashara eti kwa vita kupambana na ufisadi na kuwabambikia watu kodi zisizo na mipango.
Fikiria idadi ya watu waliokuwa wameajiriwa kwenye bureau de change wote wale walirud mtaani, bado serikali haikuwa inatoa ajira kwa Zaid ya miaka 5, vilevile Kuna watu walipunguzwa kazi kisa vyeti fake hao wote wako mtaani hata ikitokea leo ajira zitangazwe 3mil bado gap lipo saana, hapa inahitajika si chini ya miaka 8 ili kuweza cover gap la ajira.
Maajabu ni kuwa kwa kila taasisi ya serikali utayokwenda bado Kuna uhaba wa watumishi
 
Mwaka jana TRA ilikusanya jumla ya kiasi Trilioni 27.65 ambacho katika ufanisi ilikua sawa na asilimia 97.67
Soma pia TRA yaweka rekodi ya kukusanya Trilioni 27.6 kwa mwaka 2023/2024
Katika miezi Sita kukusanya kiasi cha Trilioni 16.5 ambacho ni pungufu Trilioni 11.15 kufikia kiasi cha mwaka mzima wa jana na pungufu Trilioni 11.5 kufikia lengo la mwaka jana ambapo ni sawa na asilimia 67 ya mapato ya mwaka wa jana ikiwa ni bado miezi Sita kumaliza mwaka ni ishara kwamba kiwango cha ukusanyaji wa mapato mwaka huu kimeongezeka na kitaongezeka ukilinganisha na mwaka jana at ceteris peribus.

Tukija kwenye changamoto zetu za kila sku ambayo ni tax to GDP ratio ni dhahiri shairi kiwango cha makusanyo akikidhi pato letu la taifa na hivyo kusababisha budget deficit. Ikumbukwe iliwekwa lengo kwa nchi za Africa kufikisha 15% ya tax to GDP ratio lakini ukweli ni kwamba hatujawahi kufika na hata 13% bado hatujafika hii inashiria kwamba wakati TRA wanafurahia kuvuka lengo wajue ya kwamba safari bado ni ndefu sana kwenye makusanyo ya kodi na sidhani kama wanastahili kufurahia kiasi hicho.

Napendekeza kiwango cha TRA wajipimie kwenye Tax to GDP ratio hii ndo inaleta picha ya uhalisia. Tukumbuke wenzetu kenya walishafika kiwango cha asilimia 16.99 kweny tax to GDP ratio sisi na Uganda walau walifika asilimia 13.6 lakini sisi tukijilinganisha ni bado ambapo inaashiria mifumo yetu ya ukusanyi kodi bado haipo vizuri na ongezeko la biashara holela na ukwepaji wa kodi vimekithiri.
 
Bado makusanyo ni kidogo atleast tungefikq tril 10 kwa mwez ndo tunaweza jitosheleza na ili tufike hapo lazima tuvutie uwekezaji mkubwa na ndo kinachofanyika sasa hivi, matokeo ya walau yataanza onekana kuanzia mwaka huu, maana hata viwanda vingi ndo vitakuwa vimeanza kuoperate
Trillion 10 inawezekana japo sio rahisi
 
Hawa viongozi wa TRA wanachekesha sana.Yaani malengo wanajiwekea madogo halafu wanajidai wamevuka malengo?Kenya imekusanya mara tatu ya hicho wanachojidai kuwa wamevuka malengo.
Sappire hebu tuwe wakweli ndugu toka lini kina kaisari wakajiwekea malengo? Unadhani kwa nini tunachagua wabunge? malengo wanawekewa baada ya bunge kupitisha bajeti kuu ya serikali. Waziri wa fedha anapelekaga muswada bungeni kuomba idhini. Waziri huwa anasoma serikali inatarajia kukusanya kiasi gani ikiwemo kodi za tra na tozo za halmashauri na tra hupewa mgao wao. hawajiwekei kama unavyodhania.
 
Mkuu hizi stori za wawekezaji zichukulie kwa umakini sana. Huo uwekezaji nilitegemea uonekane kwenye ajira,, sasa ni uwekezaji gani huo ambao haugusi kwenye ajira ya watu, angalia idadi ya wafanyakazi wanaolipa PAYE je wanaongezeka na kama wanaongezeka je nyongeza yao inaendana na idadi ya uwekezaji unaosemwa?

Pili angalia kwenye ajira, serikali ikitangaza ajira 2 ama nafasi 2, waombaji elfu 40, sasa huo uwekezaji unaotajwa matokeo yake yako kwenye nini?
Kwani Ajira hazionekani? Wewe una ushahidi upi? Hivi unavyoona magorofa yanajengwa hakuna Ajira hapo?

Nikuoneshe na zingine hizi hapa 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DERt7PcNxSi/?igsh=b3Q1NXhvOHhlb3By
 
Ni nani anafanya verification ya hizi data za TRA?
Au TRA yeye anakusanya ,na eye anatusomea na kutuandikia alichokusanya🥺
Ninashauri next time ,waeleze makusanyo hayo wamekusanya wapi na wapi na kiasi gatra
tra wanakusanya kodi kuanzia mikoani na wilayani.na fedha hizo zinaingia moja kwa mja bot .kuna CAG ,wizara husika ,gavana wote hao kazi yao ni kuhakikisha fedha hizo zipo kama ripoti ya tra
 
Mwaka jana TRA ilikusanya jumla ya kiasi Trilioni 27.65 ambacho katika ufanisi ilikua sawa na asilimia 97.67
Soma pia TRA yaweka rekodi ya kukusanya Trilioni 27.6 kwa mwaka 2023/2024
Katika miezi Sita kukusanya kiasi cha Trilioni 16.5 ambacho ni pungufu Trilioni 11.15 kufikia kiasi cha mwaka mzima wa jana na pungufu Trilioni 11.5 kufikia lengo la mwaka jana ambapo ni sawa na asilimia 67 ya mapato ya mwaka wa jana ikiwa ni bado miezi Sita kumaliza mwaka ni ishara kwamba kiwango cha ukusanyaji wa mapato mwaka huu kimeongezeka na kitaongezeka ukilinganisha na mwaka jana at ceteris peribus.

Tukija kwenye changamoto zetu za kila sku ambayo ni tax to GDP ratio ni dhahiri shairi kiwango cha makusanyo akikidhi pato letu la taifa na hivyo kusababisha budget deficit. Ikumbukwe iliwekwa lengo kwa nchi za Africa kufikisha 15% ya tax to GDP ratio lakini ukweli ni kwamba hatujawahi kufika na hata 13% bado hatujafika hii inashiria kwamba wakati TRA wanafurahia kuvuka lengo wajue ya kwamba safari bado ni ndefu sana kwenye makusanyo ya kodi na sidhani kama wanastahili kufurahia kiasi hicho.

Napendekeza kiwango cha TRA wajipimie kwenye Tax to GDP ratio hii ndo inaleta picha ya uhalisia. Tukumbuke wenzetu kenya walishafika kiwango cha asilimia 16.99 kweny tax to GDP ratio sisi na Uganda walau walifika asilimia 13.6 lakini sisi tukijilinganisha ni bado ambapo inaashiria mifumo yetu ya ukusanyi kodi bado haipo vizuri na ongezeko la biashara holela na ukwepaji wa kodi vimekithiri.
Watanzania hawalipi kodi
 
Wakatia anaingia madarakani deni lilikuwa kiasi gani na wakati anaondoka deni lilikuwa kiasi gani ? 2015 deni lilikuwa 17.3bil usd sawa kwa rate za sasa ni sawa na tril 42.3 ukitoa hiyo yako tril 78 unaweza tuambia hizi tril 35 magu alizifanyia nini ?
Magu wakati anaingia Deni jumla ilikua trilion 44, hadi anaondoka lilikua jumla trillon 73. Jumla kaweka kibindoni trilllion 29

Deni kwa sasa ni trillion 107, kutoka trillion 73. Honourable Dr.SSH kaweka kibindoni hadi sasa trillion 34. Madeni yote ni kwa rate ya sasa. Kazi inaendelea..
Screenshot_20250101-204706_1.jpg
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeandikisha rekodi Mpya ya Mapato ya nusu mwaka Kwa kukusanya zaidi ya Trilioni 16.5 kwa.kioindi Cha miezi 6 au nusu mwaka ya mwaka wa Fedha 2024/2025.

Kiwango hicho ni Cha Juu zaidi kuwahi kufikiwa na TRA huku ikiwa ni ufanisi wa asilimia 103% yaani imevuka malengo.

Aidha mwezi Disemba pekee imekusanya takribani Shilingi Trilioni 3.5 ikiwa ni Juu ya lengo la Trilioni 3.

View: https://www.instagram.com/p/DESCEmIoQWy/?igsh=MTR3Z3ptYmowNmd3bQ==
View attachment 3189985

My Take
Hongera sana Kwa TRA na walipakodi wote nimiwemo mimi.

Hongera sana Rais Samia, hongera Kwa Waziri Mwigulu Kwa kukusanya Kodi bila dhuluma na kuvuka malengo , haijawahi tokea tangu TRA kuanzishwa.

Tunatoka wito wa matumizi sahihi ya Kodi zetu na pia juhudi zaidi za kukusanya Mapato,Bado ukwepaji Kodi ni mkubwa na watu hawatoi Wala kudai risiti inavyostahili.

View: https://www.instagram.com/reel/DESXvVVo1Z7/?igsh=MTB0OG5raXl2YjBqcw==

Habari za ndani ndani kabisa wanapika data, na kidata aliondolewa kisa kuzuia wapigaji, sasa sijui tuamini kipi ni kipi
 
Trilioni 16.5 kwa miezi 6🙃.
Waliakodi huku niliko hawalipi Kodi,hii mmekusanya kwa akina nani?
Kodi watu wanalipa. Inflation pia huwa inaongeza makusanyo. IST iliyokua milion 10 kwa sasa ni mil 18. Hapo automatically kodi imeongezeka, hapo makusanyo ya tra yanaongezeka pia

Bati ulikua ukinunua mfano 20k, sasa hivi utainunua kwa 30k. Hapo kodi automatically imeongezeka na makusanyo ya tra yanaongezeka
 
Habari za ndani ndani kabisa wanapika data, na kidata aliondolewa kisa kuzuia wapigaji, sasa sijui tuamini kipi ni kipi
Hakuna data yoyote inapikwa. Makusanyo ni halali, point yako ingekua ni hayo makusanyo ni sababu ya inflation. Petrol ulikua unanunua lita kwa 1800, Sasa hivi unainununua 2800, na sometimes zaidi ya 3000. Hapo lazima makusanyo yawe makubwa
 
Magu wakati anaingia Deni jumla ilikua trilion 44, hadi anaondoka lilikua jumla trillon 73. Jumla kaweka kibindoni trilllion 29

Deni kwa sasa ni trillion 107, kutoka trillion 73. Honourable Dr.SSH kaweka kibindoni hadi sasa trillion 34. Madeni yote ni kwa rate ya sasa. Kazi inaendelea..
View attachment 3190235
Sawa ishu iko kwenye hizo tril 29 za magu ni mradi gani
Alikakamilisha wa kimkakati, mind you kipindi chake kutokana na kuwa mahusiano mabaya alishindwa kopesheka lait angekuwa ana uwezo wa kukopa a angeweza kopa Zaid ya Samia.
Ni kweli samia kakopa lakini miradi ni mingi inayoendelea na mingi ni Ile iliyoanzishwa na mwendazake bila kuwa na mpango wa fedha
 
Hakuna data yoyote inapikwa. Makusanyo ni halali, point yako ingekua ni hayo makusanyo ni sababu ya inflation. Petrol ulikua unanunua lita kwa 1800, Sasa hivi unainununua 2800, na sometimes zaidi ya 3000. Hapo lazima makusanyo yawe makubwa
Hata kama ni inflation sio kwa kiwango hicho ingawa bado naona kama makusanyo bado ni kidogo sana ukilinganisha na economic activity zilizopo. Mfano mdogo tu Kuna watu wanamitaji ya mpaka mil 400 ila wanafanya umachinga. Fikiria population ya watu waliopo barabarani mbagala.
 
Back
Top Bottom