ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #101
Wewe fala kweli, unadhani kazi ya Wizara ya Fedha ni nini kama sio kuwapangia malengo Ili wakidhi mahitaji ya Bajeti ya serikali?Kenge wa zambarau wewe, kulipaswa kuwe na taasisi inayojitegemea inayowapangia target ili waweze ku-achieve.
Hata mining kuna department zaidi ya 10, lakini kuna department special ya planning kwa ajili ya kupanga target,
Hupanga kwa kila department ili kuona ufanisi wa taasisi moja moja na kunakuwa na bonus ukiivuka hiyo target...na kuivuka hiyo target huwa ni shughuli kweli kweli!.... maTX wanajua hili
Usiwaze kwa kutumia Makalio mkuu!
Yaani ujipangie kukusanya mil 500, ambayo unajua utaikusanya kwa wiki2, ili upewe sifa na raisi kwamba umevuka target... halafu unajisifu eti umevuka lengo!?
Wewe hata shule hukwenda ndio maana unaropoka tuu