Uchumi kukua huwa si kuna general reports ambazo hutolewa? Hapo ndio tunaona kuna kukua au kubaki palepale au kushuka zaidi. Naomba nikuulize uchumi kwa ujumla hiyo 2015 ulikua au ulibaki palepale? Ungeweka pato la nchi na pato la mmoja mmoja kuliko hizi speculations
Community banks hizo kufa, huwa ni sababu za ndani. Mismanagement, japo serikali inaweza kuchangia. But sio kigezo cha kusema uchumi umeshuka. Kama bodi of directors wakiamua kufuja hata uchumi ukue vipi zitakufa tu.
USA nchi yenye uchumi mkubwa mwaka Jana 2023 Kuna bank zaidi ya 3 zilikufa, tuseme uchumi ya USA upo stagnant? Na bado kuna wasiwasi wa banks zingine kufa
View attachment 3190316