TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

Then kama ndo majibu yako hayo basi naomba ujue baada ya kutoa bandarini ya kulipa kodi zote muuzaji anawajibika kuendelea kuwa wakala wa kukusanya vat kwa rate 18 % na bado baada ya kuuza na kutoa gharama zake kwenye faida yake anatakiwa kuwasilisha corporate tax ya 30% sasa tuambie huyo mwenye makontena hiyo corporate tax na vat tunaipataje?
Kuwa mwanamahesabu sio kujua kila kitu ndio maana Kuna wahasibu na economists
Mfano wako wa mtu anayeingiza makontena 6 na kuwapa machinga wamuuzie, si mfano halisi. Lakini naomba kukuuliza unajua corporate tax ni kitu gani na nani wapo eligible? Au noulize kwa mfano mimi sio machinga nina duka la nguo kariakoo nauza, nalipaje corporate tax?
 
Corporate tax na income tax ni vitu sawa ila moja inatozwa kwenye makampuni na nyingine ni individuals na inatozwa kwenye faida.
Kila mtu au kampunimwenye faida ta Zaid ya atleast 1mil yuko eligible kulipa na inalipwa kwa robo. Sasa tuambie mtu ambaye kawagaia watu mizigo ni Kwa namna gani tunaweza mtrack maana hata risiti.
Kuhusu watu kuingizA mizigo na kuigawa ipo sana na machimbo yapo sana tena hata zaidi ya hayo makontena
 
OK kwako indicators of economic activity unajua ni zipi?
Kwangu mimi indicator ya uchumi kuyumba ni pale mabenki kadha wa kadha yalipofirisika na kufungwa huo ni mfano mmoja pili ukosefu wa ajira uliokidhiri
The failed banks under liquidation and their respective years of closure are: Greenland Bank Tanzania Limited (2000); Delphis Bank Tanzania Limited (2003); FBME Bank Limited (2017); Mbinga Community Bank Plc (2017); Njombe Community Bank Limited (2018); Meru Community Bank Limited (2018); Covenant Bank for Women (T) Limited (2018); Kagera Farmers’ Cooperative Bank Limited (2018) and Efatha Bank Limited (2018).
Uchumi kukua huwa si kuna general reports ambazo hutolewa? Hapo ndio tunaona kuna kukua au kubaki palepale au kushuka zaidi. Naomba nikuulize uchumi kwa ujumla hiyo 2015 ulikua au ulibaki palepale? Ungeweka pato la nchi na pato la mmoja mmoja kuliko hizi speculations

Community banks hizo kufa, huwa ni sababu za ndani. Mismanagement, japo serikali inaweza kuchangia. But sio kigezo cha kusema uchumi umeshuka. Kama bodi of directors wakiamua kufuja hata uchumi ukue vipi zitakufa tu.

USA nchi yenye uchumi mkubwa mwaka Jana 2023 Kuna bank zaidi ya 3 zilikufa, tuseme uchumi ya USA upo stagnant? Na bado kuna wasiwasi wa banks zingine kufa
Screenshot_20250101-221236_1.jpg
 
Lichawa la mama!

Hayo mapato ni pamoja na yake matozo yanayotokana na kununua luku mkisema ni kodi ya jengo?

Halafu Tanesco ni wadhurumati sijapata kuona.
Kuna jamaa alisafiri miezi kadhaa nje ya nchi kumbe nyuma nyumba umeme ikatokea short umeme kwenye sucket breaker nyumba ikazima umeme.
Siku amerudi umeme hauwaki akacheki salio umeme upo karibia units 200 KWh.
Sasa alipokuta umeme hakuna akajua huenda łuku iliisha akanunua umeme jamani alikatwa shilingi 15,000 kwa kila mwezi ambao hakununua luku mara idadi ya miezi.
Imagine .
Tanesco mtalaaniwa Kwa kuweka huo wizi kwenye kununua luki.

Dhuruma mbaya sana.
Yaani mtu amesafiri mkijanmnamdaiml Hela chungu nzima zidi o za haki ??
Kila alopitisha hiyo sheria au utaratibu Mungu na amlipe kwa dhuruma hiyo.
 
Hapo sio tanesco Bali bunge lako ndo lilipitisha kodi ya Marengo ikusanywe kupitia luku na ni kwa kila mwezi sasa kama ukinunua umeme ukakaa miezi tegemea siku ukiweka umeme watakata miezi yote
 
Corporate tax na income tax ni vitu sawa ila moja inatozwa kwenye makampuni na nyingine ni individuals na inatozwa kwenye faida.
Kila mtu au kampunimwenye faida ta Zaid ya atleast 1mil yuko eligible kulipa na inalipwa kwa robo. Sasa tuambie mtu ambaye kawagaia watu mizigo ni Kwa namna gani tunaweza mtrack maana hata risiti.
Kuhusu watu kuingizA mizigo na kuigawa ipo sana na machimbo yapo sana tena hata zaidi ya hayo makontena
Sio sawa ndio maana unassma moja kwa makampuni nyingine kwa individuals.

Turudi kwenye swali. Mtu anayeingiza hizi contena anakuwaje tracked? Mimi bado sisadiki hili la mtu mwenye kontena 6 awe anawapaachinga tu wasimuuzie. Pili hata ikiwa kweli TRA Kama taasisi hilo ni jukumu lao ndio maana wana task force zinazofanya kazi 24/7 kama wakishindwa kutrack hiyo itakua uzembe wa taasisi husika au ujanja mkubwa wa huyo mtu

Pia unapaswa kujua watu wataokwepa kulipa watakuwepo tu. Imagine wachezaji bora kuwahi kutokea duniani Messi na Ronaldo walikua na kesi kule Spain ya kukwepa kulipa Kodi. Hivyo haiwezi kuwa ajabu kwa huku ulimwengu wa tatu
 
Ndio maana Bado Huwa nawashanhaa Serikali kuondoa task force wakati hata kina Trump au Biden via Hunter wanakwepa Kodi.

Kodi inakusanywa Kwa Nguvu hakuna anaelipa Kwa hiari na wakwepa Kodi wakibainika sheria Kali zichukue mkondo wake.

Kiwango wanachokusanya TRA hakilingani kabisa na uwezo wa Uchumi wetu Tax to GDP ratio ,tuko chini sana ya Nchi zote za EAC.
 
Halafu Tanesco ni wadhurumati sijapata kuona.
Kuna jamaa alisafiri miezi kadhaa nje ya nchi kumbe nyuma nyumba umeme ikatokea short umeme kwenye sucket breaker nyumba ikazima umeme.
Siku amerudi umeme hauwaki akacheki salio umeme upo karibia units 200 KWh.
Sasa alipokuta umeme hakuna akajua huenda łuku iliisha akanunua umeme jamani alikatwa shilingi 15,000 kwa kila mwezi ambao hakununua luku mara idadi ya miezi.
Imagine .
Tanesco mtalaaniwa Kwa kuweka huo wizi kwenye kununua luki.

Dhuruma mbaya sana.
Yaani mtu amesafiri mkijanmnamdaiml Hela chungu nzima zidi o za haki ??
Kila alopitisha hiyo sheria au utaratibu Mungu na amlipe kwa dhuruma hiyo.
Ndio ilivyo,ni Bora hiyo Kodi ya Tanesco tungekatwa kulingana na matumizi badala ya kuipachika kulingana na miezi utumie au usitumie unalipa,huo ni wizi wa mchana kweupe.
 
Uchumi kukua huwa si kuna general reports ambazo hutolewa? Hapo ndio tunaona kuna kukua au kubaki palepale au kushuka zaidi. Naomba nikuulize uchumi kwa ujumla hiyo 2015 ulikua au ulibaki palepale? Ungeweka pato la nchi na pato la mmoja mmoja kuliko hizi speculations

Community banks hizo kufa, huwa ni sababu za ndani. Mismanagement, japo serikali inaweza kuchangia. But sio kigezo cha kusema uchumi umeshuka. Kama bodi of directors wakiamua kufuja hata uchumi ukue vipi zitakufa tu.

USA nchi yenye uchumi mkubwa mwaka Jana 2023 Kuna bank zaidi ya 3 zilikufa, tuseme uchumi ya USA upo stagnant? Na bado kuna wasiwasi wa banks zingine kufa
View attachment 3190316
90% ya benki zilikuwa Kwa sababu za sera mbovu za serikali na hapa management wasisingiziwe na ilikuwa ni Kilimo Cha mabenki yote hata haya makubwa yalikuwa Yana post faida ndogo kuwahi kutokea.

Bahati nzuri ni sekta karibu zote za private zilidorora isipokuwa sekta ya Umma ndio ilifanya vizuri Kwa kuwa yenyewe Haina competition so Samia anapewa maua yake na yule mwingine anapigwa mawe.
 
Magu hayupo kuanza kutaka kumjadili na kumhukumu haitamtendea haki.
Isipokuwa kuna mambo kadhaa mnaweza kufanya kama rejea kwa kiasi Fulani tu
Kutokuwepo kwake hakuzuii yeye kujadiliwa maana aliacha legacy iwe nzuri au mbaya so lazima ilinganishwe na alishaongoza miaka 5.5
 
Lichawa la mama!

Hayo mapato ni pamoja na yake matozo yanayotokana na kununua luku mkisema ni kodi ya jengo?
Ni Kodi ya Jengo hiyo kwani Haikuwepo miaka ya nyuma? Payment modality imebadilishwa tuu Ili usikwepe ,lipa Kodi hakuna msalie mtume nyumbu wewe.
 
Back
Top Bottom