tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
MITANO TENA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna task force imeondolewa. Bado inafanya kazi kama kawaida umesahau kilichotokea tegeta?, muhimu usiombe uingie kwenye 18 zao.Ndio maana Bado Huwa nawashanhaa Serikali kuondoa task force wakati hata kina Trump au Biden via Hunter wanakwepa Kodi.
Kodi inakusanywa Kwa Nguvu hakuna anaelipa Kwa hiari na wakwepa Kodi wakibainika sheria Kali zichukue mkondo wake.
Kiwango wanachokusanya TRA hakilingani kabisa na uwezo wa Uchumi wetu Tax to GDP ratio ,tuko chini sana ya Nchi zote za EAC.
Kamanda hapa unataka niuzia masaro. Kuna vitu hata mambo yawe vipi haziwezi kushuka mojawapo ni makusanyo ya TRA, GDP n.k90% ya benki zilikuwa Kwa sababu za sera mbovu za serikali na hapa management wasisingiziwe na ilikuwa ni Kilimo Cha mabenki yote hata haya makubwa yalikuwa Yana post faida ndogo kuwahi kutokea.
Bahati nzuri ni sekta karibu zote za private zilidorora isipokuwa sekta ya Umma ndio ilifanya vizuri Kwa kuwa yenyewe Haina competition so Samia anapewa maua yake na yule mwingine anapigwa mawe.
Pamoja na kwamba hizo benki kuu 2 sio mfano nzuri sana ila nazo zilipata hasara kubwa Kwa kuwa na non performing loans nyingi Kwa vile biashara zilikuwa haziendi.Kamanda hapa unataka niuzia masaro. Kuna vitu hata mambo yawe vipi haziwezi kushuka mojawapo ni makusanyo ya TRA, GDP n.k
Sekta karibu zote za private zingedorora basi GDP ingeporomoka mno. Useme labda hazikukia kwa kasi kubwa hapo naweza kubali, lakini kudorora si kweli.
Hii ya mabenki kurekodi faida ndogo kuwahi kutokea ni masaro hii unataka niuzia. I do statistics, I do data esp financial analysis. Mabenki hayakurekodi faida ndogo kuwahi kutokea, faida ziliendelea kukua kama kawaida.
Angalia chini hizi data za profit kutoka two Giants(NMB & CRDB) utaona kutoka 2014 hadi 2020 faida ziliongezeka mara mbili, pia kutoka 2020 hadi 2024 faida pia imeongezeka mara mbili.
View attachment 3190633View attachment 3190634View attachment 3190635View attachment 3190636
Hakuna Cha masoro , takwimu ndio zinaongea 👇 👇Kamanda hapa unataka niuzia masaro. Kuna vitu hata mambo yawe vipi haziwezi kushuka mojawapo ni makusanyo ya TRA, GDP n.k
Sekta karibu zote za private zingedorora basi GDP ingeporomoka mno. Useme labda hazikukia kwa kasi kubwa hapo naweza kubali, lakini kudorora si kweli.
Hii ya mabenki kurekodi faida ndogo kuwahi kutokea ni masaro hii unataka niuzia. I do statistics, I do data esp financial analysis. Mabenki hayakurekodi faida ndogo kuwahi kutokea, faida ziliendelea kukua kama kawaida.
Angalia chini hizi data za profit kutoka two Giants(NMB & CRDB) utaona kutoka 2014 hadi 2020 faida ziliongezeka mara mbili, pia kutoka 2020 hadi 2024 faida pia imeongezeka mara mbili.
View attachment 3190633View attachment 3190634View attachment 3190635View attachment 3190636
Ni utapeli tupuAfu serikal inaenda kukopa Tsh billion 12 kwa ajiri ya ujenzi
Mkitukanwa kwenye midaharo mnasema watu hawana heshima wakat haya mnayoyafanya ni matusi makubwa sana kwa watanzania wasomi na waelewa
Pamoja na kwamba hizo benki kuu 2 sio mfano nzuri sana ila nazo zilipata hasara kubwa Kwa kuwa na non performing loans nyingi Kwa vile biashara zilikuwa haziendi.
Hizo benki 2 Zina haisa za serikali na Kwa hiyo miamala Mingi ya serikali inafanyika so sio rahisi sana kwao kutopata faida.
Kipimo sahihi ni benki ambazo Hazina mkono wa Serikali na hizo ndio zili suffer sana lakini Kwa Sasa Kila benki iwe kubwa au ndogo zote Zina rekodi faida mara dufu.
Mwisho huwezi Kuta figures kama hizi awamu ya 5 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEUngtJtDHC/?igsh=eXZlNWhmYmRscXY0
Alama hizi zinawekwa na Samia tuu Baltazar Engongo
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1848955807997493286?t=BD-dpFD4nNO0W1TxvHZ87Q&s=19
Unataka kujadili Yale unayopenda ila sio uhalisia.Bank ziwe na non performing loans nyingi alafu zitengeneze faida mara mbili kwa kipindi hicho? Then now ziwe na non performing loans chache alafu zitengeneze faida mara mbili hiyo hiyo? Haitakua kweli
Kamanda hizo watu wanainvest ni jambo zuri na pia nashauri tuwe moja ya hao wanaoinvest. Pia hiyo awamu hii wameivest or hawajainvest hiyo to me si issue mm napenda kuona investments zikikua na hata hii dialogue na mkuu hapo juu ilikua kuwekana sawa si kubiashana ndio ukaona dialogue ikafika huku kwenye banks and so.
Kurahisisha yote haya weka takwimu za banks kwa ujumla kwa miaka 10 ili uone kama Kuna mwaka zilishukaUnataka kujadili Yale unayopenda ila sio uhalisia.
Benki zinafanya kazi na Serikali na private sector
Upande wa private sector ulikuwa hoi bin taaban ila upande wa Serikali ndio uli zi boost hizo benki kubwa 2.
Mbona benki zingine plus micro finances huzizungumzii? 😆😆
Namba za Samia Huwa hazidanganyi 👇 👇 View attachment 3190666
Yakaongezeka Kwa Kasi gani na size ipi? Mwendazake amekuta Mapato ya TRA ni 800bln/M Kwa JK Hadi anatoka baada ya miaka 5.5 akafikia 1.5T/M sawa na Bln 700 lakini Mama Kwa miaka 4.5 amedabo hiyo 1.5T mara 2 in less than 5 years,Bado unaona Kasi ya wengine ni sawa na ya Samia?Kuna kitu nahisi hujakielewa vizuri kwenye hizi kuongezeka iwe mapato or bajeti or matumiimzi ya mbolea n.k
Mida unavyozidi kwenda hayo yote lazima yaongezeke. Mapato wakati wa Ben mkapa hayawezi kuwa sawa na jk, mapato ya jk hayawezi kuwa sawa na magufuli, na mapato kwa wakati wa magufuli hayawezi kuwa sawa na Samia, na Samia mapato wakati huu wake hayafakua sawa kwa anayekuja
Hivyo hivyo matumizi hayo ya mbolea lazima yaongezeke, kwa JK hayakua sawa na mkapa, kwa magufuli hayakua sawa na jk, na kwa Samia hayapo sawa na magufuli, na kwa anayekuja hayatakua sawa na Samia. Hili ukilielewa hutapata hii shida
Sio tuu Zilishika awamu ya 5 Bali zilifikisika benki kibao.Kurahisisha yote haya weka takwimu za banks kwa ujumla kwa miaka 10 ili uone kama Kuna mwaka zilishuka
Yakaongezeka Kwa Kasi gani na size ipi? Mwendazake amekuta Mapato ya TRA ni 800bln/M Kwa JK Hadi anatoka baada ya miaka 5.5 akafikia 1.5T/M sawa na Bln 700 lakini Mama Kwa miaka 4.5 amedabo hiyo 1.5T mara 2 in less than 5 years,Bado unaona Kasi ya wengine ni sawa na ya Samia?
Nimekwambia niwekee rekodi kama hizi hapa hujaweka Hadi Sasa 👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1869235203979301295?t=0Yw9WZQpYQ10o7er6AaeBQ&s=19
Naomba gross profits ya faida za banks kwa miaka 10 nione hiyo unasema. Hapo inakua rahisi kufanya analysisSio tuu Zilishika awamu ya 5 Bali zilifikisika benki kibao.
Benki zote kubwa 20 zolovuna over 1.5T huku zingine zikiwa na ukuaji wa over 36%. Case study 👇👇Naomba gross profits ya faida za banks kwa miaka 10 nione hiyo unasema. Hapo inakua rahisi kufanya analysis