TRA yaweka rekodi ya kukusanya Trilioni 27.6 kwa mwaka 2023/2024

Daily transactions na ujazo wa pesa uliopo kwenye mzunguko ndio balance zenyewe hizo
Kwa hiyo transactions za June 30th, hazitatumika coz mwaka wa fedha ulishaisha, punguani wahed wewe.

Endeleeni kununua vx v8 huku huduma muhimu kwa watanzania zikiwa mbovu, ufisadi na wizi wa fedha za umma ukiwa kiwango cha kutisha na huku mkuendelea kuteka na kuua.
 
Serikali ikikusanya pesa inazitoa mda mfupi zaidi Ili sikatumike kukuza Uchumi,ukifanya holding utakwamisha mzunguko wa Uchumi.

Pesa inayoweza kutunzwa ni ya Dharura tuu nayo ni Kwa mda maalumu sana,hata hivyo mda wote hela zinaingia na kutoka.

Mwisho walau hela ambayo inakaa Benki/BoT Kwa kiasi Fulani ni Foreign Currency na inatunzwa Kwa kumonotor mwensendonwa soko kwa Ajili ya regulation tuu,Kwa pesa ya ndani labda Ile ambayo Iko in excess of the required amount in circulation.
 
Kaungane na agrey yule Shoga mwenzako
 
Unaelewa nachomaanisha au unakurupuka na shule yako ya MEMKWA?
 
Sasa sisi huku Tanganyika Mwaka 23_24 bajeti ilikua Trilioni 44, makusanyo trilioni 27, pungufu ya 17 sawa na 40%.

Mwaka huu tumeweka almost Trilioni 50. Makusanyo ya kujitahidi yatafika Trilioni 30, pungufu ya Trilioni 20 sawa na 40%.

Sisi miaka nenda rudi bajeti yetu kwa 40% ama zaidi imekua ikitegemea, mikopo, wahisani, misaada, ruzuku nk.

Watanzania tuko 60+, walipakodi nchi hii wako below 3.5m, shida iko hapa. Ukiangalia TRA haijaweza kupanua wigo wa walipakodi, haiwezekani Watanzania milioni 65 walipa kodi ni milioni 3 tu. Hata ukisema wazee na watoto, wasiojiweza nk wako 40m, maana yake watu waliopaswa kulipa kodi ni 20m, ila sasa wako 3m, 17m wapo tu mtaani wanakula maisha.

Tukiweza kuongeza tax base yetu kufikia hata 6m, tunaweza kugharimia bajeti yetu kwa 70% to 90%.

Bado tuna kazi kubwa sana.
 
TRA hii inayojichotea pesa kwenye accounts za watu ndiyo mnaita makusanyo au ni uporaji tu..

Hayo makusanyo makubwa yanaenda wapi sasa kama miradi inasimama kwa ukata.
 
Makusanyo ya TRA hayana maana kama report ya Ujambazi ya CAG haifanyiwi kazi..hao lazima wavunje rekodi kwa jinsi wanavyowakaba Wananchi wasaka nyoka...
 
Unaamini kwamba ni kweli ni watanzania m. 3 tu ndio wamelipa hizo trillioni 27.6
na watu wengine hawajachangia kulipa hizo kodi.
 
Unaamini kwamba ni kweli ni watanzania m. 3 tu ndio wamelipa hizo trillioni 27.6
na watu wengine hawajachangia kulipa hizo kodi.
Tax base ni 15% tuu wakati ilitakiwa tuwe zaidi ya 30%,watu hawalipi kodi
 
TRA hii inayojichotea pesa kwenye accounts za watu ndiyo mnaita makusanyo au ni uporaji tu..

Hayo makusanyo makubwa yanaenda wapi sasa kama miradi inasimama kwa ukata.
Haiwezi kuchota kama huna makosa
 
Acha kukurupuka.Vyanzo vya Mapato ya Bajeti ni
-TRA
-Idara na wakala za serikali
-Makusanyo ya Halmashauri
-Mikopo
-Misaada ya wahisani
-Magawio kutoka mashirika ya serikali

Ni vyema mkawa mnajielimosha na mambo haya kabla ya kuchangia Ili msipotoshe au kuonekana wajinga πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwa ambaye hafanyi biashara ataona kugoma ni ukorofi lakini huyohuyo ukimpa biashara ya duka kisha mtu apange biashara ileile anayoifanya mbele ya duka lake atagombana! Kuna maeneo mengi wafanyabiashara wanaotozwa kodi ni robo tu ya wamachinga wasiolipa kodi huku wakiwa na bidhaa za gharama kubwa sawa na wenye maduka.
 
Una uhakika haifanyiwi kazi?
Kulipa mishahara tu na kuiba uliona wapi watu wanapewa mradi harafu Waziri Mkuu anawapitia kuwakagua na kuwasihi watu wawe makini na fedha za Umma kama watu wamepewa Mradi wameboronga wapelekwe mahakamani huko kuliko kupita kila siku na kutoa masharti ya kisiasa tu..
 
Kwa makusanyo haya Serikali ingeshindwa kulipa madeni ya makandarasi? Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe
 
hakuna kitu ni ilikujaza matumbo ya wanaccm na kutunisha akaunti za watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…