TRA yaweka rekodi ya kukusanya Trilioni 27.6 kwa mwaka 2023/2024

Kwa makusanyo haya Serikali ingeshindwa kulipa madeni ya makandarasi? Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe
Kazi ya serikali ni kulipa madeni ya wakandarasi pekee? Harafu no wapi imeshindwa?
 
Umemaliza muzee.
 
Chura kiziwi anatetewa na watu wapumbavu sana!

Unajiuliza mikopo yote toka kwa mashoga zake huko uarabuni anafanya nini kama makusanyo ndio hayo?

Hakuna mradi hata mmoja wa maana kwamba ndio unamaliza hela!

Chura kiziwi anafanyia nini hizi hela?
 
Tu s


Kosa kubwa linalofanywa naserikali ni kuruhusu mianya kupotea kwa fedha za umma.

Palitakiwa pawe na control namba moja inayotolewa na hazina tuu.Kila pesa iingie hazina.

KuleTanapa tunapoteza fedha zinazotosha kuendesha nchi .
Kule Bandarini tunapoteza pesa zinazoweza kuendesha nchi .

Kwenye mashirika ya umma ukianza na Tanesco n.k, tunapoteza pesa zinazotosha kiendesha wizara mbili mpaka tatu.

Latra na Trafiki makusanyonyo yake yanatosha kuendesha wizara.
Makusanyo mengi Halmashauri na majiji na mijiji yanaishia mifukoni mwa watu na matumizi ya anasa tu.

Fedha zote hizo zingekua zinaingia hazina moja kwa moja bila shaka tungekua tunakusanya zaidi ya Tril. 100 kwa mwaka .
Tusingekwenda kukopa pesa kwenye taaisisi na mashirika ya mashoga duniani.
 
Unaijua Trilioni 100 wewe? Kuwa na namba Moja ndio Serikali inafanyia kazi Ili kuwapunguzia wafanyabiashara usumbufu wa kulipia kila taasisi.
 
Porojo za usongo hizo.

Mapato yamepanda au yameshuka?
 
Sawa, ila bado haitoshi
Kwa mfano:
Bajeti 24/25 mapato yetu ni kama 70%, unaingiza laki 7 ila matumizi ni Mil 1,

Kwahiyo, serikali iongeze mapato, ipunguze matumizi au vyote kwa pamoja
Pia ijitahidi kuongeza idadi ya walipa kodi badala ya kuwakamua kupitiliza waliopo
 
Sawa ila wamejitahidi 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C87dRhZt2vR/?igsh=MTZpYzBwcWhmOHYzMw==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…