Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ahahahaaaaaaNadhani Dr Kigwangalla atalifafanua hili!
Usimtwishe huyo zigo hili la misumari.Nadhani Dr Kigwangalla atalifafanua hili!
Kodi ya kitanda?!kwanini hiyo tozo isiwekwe kwenye tozo zilizopo tayari?Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi.
View attachment 1641829
Hii ni katika harakati za kuongeza mapato