Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo la kheri kama wamepunguza PAYE kwenye mishahara ya wafanyakazi, na ikepelekwa sehemu nyingine. Ni kweli serikali inahitaji pesa kwa ajili ya maendeleo. Sasa wapunguze PAYE halafu wasiwachaji wageni?
Huyo kwenye avatar yako ni mrembo mnoo.Tunasubiri kodi ya VPN aisee
kodi ya BAO nayo wataleta, yaani mkiingia gesti unahesabiwa IDADI YA BAO unazilipia kodi# MATAGAKamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi.
View attachment 1641829
Hii ni katika harakati za kuongeza mapato
Ukiona mtu anakusifiasifia kila wakati ogopa mkuu kuna kitu anakitaka toka kwako.yani huyu dada hajawahi post eti "magufuli awanyoosha mabeberu...." mwikoooo yeye yale mabaya tu ,daah kuna watu wanaroho ngumu aisee 😂😂😂😂😂
mimi siyo bwege ndgHivi na wewe ulimpigia kura ya ndiyo anko Magu?
Soon mtaanza kulipa kodi ya makalio maana nayo ni kivutio kwa wanaume wakware 😁
Halafu Kuna mendawazimu yanamsifu mshamba na Limbukeni .Shule ya St. JUDE wameifungia account zao kisa hawakupeleka watoto wao kwenye kampeni za CCM, kuimba mapambio kama shule nyingine.
Hii nchi kumpa huyu dereva lesseni ya kutuendesha, tumeingia chaka.
1) Mwenye kampuni ya kutembeza watalii, alipie kampuni yake kodi.
2) Na hayo magari yake ya kampuni ya watalii, alipie kodi.
3) Gari likiwekewa mafuta, unakutana na kodi.
4) Dereva nae, alipe kodi lesseni yake na ajira yake sambamba na kodi ya Trafic Police (Vijana wa kukusanya mapato TRA).
5) Mwenye hoteli wanaofikia watalii hao (Pengine mwenye kampuni ya utalii ndio hoteli yake pia), alipe kodi. Ndani ya hio hoteli yake anayoilipia kodi, chumbani kitanda nacho kikilaliwa, kilipiwe kodi.
Halafu serikali tunaambiwa haina hela. Shabaashi.
Wasisahau na KODI YA KUTUMIA VYOO KWA WATALII (Kama Vyoo Vya Kulipia Standi Za Bus).
Kwa mjini kuna changamoto ya kujua nani mtalii nani kaja kikazi. Na wengine wanakuja kikazi halafu wanapiga utalii kidogo.Hi kodi ipo muda mrefu,Hoteli za mbugani ndio walikua wanalipa.Walikua wanaforce hoteli za mjini nao walipe.Ile ni kuongeza tu mzigo kwa wamiliki wa hoteli na kwa watalii.Hoteli industry ina kodi na tozo zaidi ya 12.
Nadhani Dr Kigwangalla atalifafanua hili!
Utekelezaji wake utakuwa mgumu aidha kwa wenye mahoteli ama kwa watalii. Ni vigumu kumwambia mtalii alipe gharama za chumba halafu alipe kodi ya kitanda atakacho lalia. Na ukifanyika utaratibu wa mwenye hoteli/nyumba yoyote ya wageni aingize kodi hiyo katika malipo ya chumba gharama za malazi zitakuwa juu na hapo ndio itakuwa chanzo cha kuharibika kwa biashara hasa kwa hoteli kubwa.Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi.
View attachment 1641829
Hii ni katika harakati za kuongeza mapato
Mbona kodi ya kichwa unalipa 😂mimi siyo bwege ndg
Sure Ndio maana kwa hotel let say Sinza na Manzese ambazo wazungu wachache hawakazi ulipo labda Waanze sasaKwa mjini kuna changamoto ya kujua nani mtalii nani kaja kikazi. Na wengine wanakuja kikazi halafu wanapiga utalii kidogo.
TRA wanaamini kila mzungu ni mtalii.
Definition ya sheria haisaidii kuweka wazi nani mtalii nani siyo.
Ugumu mwingine unakuja anapokuja mgeni kikazi halafu weekend anaenda day tour mbugani au town tour, anarudi kulala hoteli ileile. Sasa mwenye hotel atajuaje kuwa jamaa alienda kutalii!