Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Sema ee bwana Yesu mikononi mwako naiweka roho yangu. Lazima tupeane toba kwanza. Hii trace awards nimeisikia wasafi leo imenihuzunisha sana sana.
Alikiba kuwekwa hotel ya kawaida, Alikiba hakujulishwa muda wa kuperfor. Alikiba hakuoneshwa mandhari ambayo wanaenda kufanya show kama wengine.
Kama haya yametendeka basi kuna matatizo sana.
Muwe makini siku nyingine msiweke awards kumeiabisha mtu ama kumfurahisha hasimu wake haipendezi.
Na nyie management ya Alikiba mna shida binafsi nimesikia mko zaidi ya watano, kwanini msiwahi kuja kuangalia mteja wenu analala wapi?
Kama mnaona hotel haiko sawa mnamwambia hakuna haja ya kuja ama kuwajuza management ya trace.
Suala la kujua muda na sehemu ya kuperform hili ni lenu. Mlitakiwa muwaulize hao trace mteja wetu anafanyia wapi show na muda gani.
Nyie mnakwenda kumganda Alikiba hotelini amekuwa hirizii manyota? Kila pandos la kuzimu liwaachie kwa jina la Yesu.
Chochote kile akitokani na wewe bwana Yesu kipotelee mbali kiyeyuke.
Ee bwana Yesu mikononi mwako naiweka roho yangu.
Sema amen!