Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 212
- 428
🤣🤣🤣🤣 acha tuHuzuni kubwa mno
Tufanye alijoin JF akiwa na 20...ukiweka 18 jumla ana miaka 38
Sasa mbaba wa miaka 38 na huu uandishi mie hoi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 acha tuHuzuni kubwa mno
Tufanye alijoin JF akiwa na 20...ukiweka 18 jumla ana miaka 38
Sasa mbaba wa miaka 38 na huu uandishi mie hoi 😂
Kwamba maandiko hayashabihiani na umri? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Kuna baadhi ya watu hukuwa tarakimu za miaka tu na si maarifa.Si unaona hata wewe mkuu 😂
Tena hiyo miaka 38 ni makadirio ya chini
Sijui watu wanampendea nini yule shoga mbwa mavi kabisa ..Kuna siku nilimuona jamaa flan shabiki amempigia magoti dah siku hio nilitukana matusi yote na nikaamin kweli umaskin ni zaidi ya LAANA...Diamond ana roho mbaya sana.
Kiba hawezi kujiharibia mkuu yeye sio Mario au kina Rayvan.Kama ndio hivyo kajiharibia, maana kwa kufanya vile ni ngumu sana kupata mialiko kwenye events kubwa,sababu pale kwenye tuzo kuna wadau wakubwa wengi sana kwenye mziki wa Africa.
Ila mwache akili ni nywele kila mtu ana zake.
Yaani kufanya show bila band ndio kuonesha wamemdharau? Fally Ipupa ana bend yake ,ila still kakubali kupiga kwa playback, Rema yule ana hits songs iliyo kaa kwa mda mrefu Billboard na juzi kapiga show kwa Bilionea Ambani still bado kapiga bila band. Ina maana hawa wamedharauliwa na Trace? Halafu kesho mambo yake ya kikwama ktk level za kimataifa atasema anabaniwa.Kiba hawezi kujiharibia mkuu yeye sio Mario au kina Rayvan.
Hiyo hiyo misimamo itafanya wakati mwingine wasimdharau au kudharau wasanii.
Inaonekana mkuu ushazoea kudharauriwa na kulamba watu miguu 😁
Makubaliano yalikuwa vipi, anaimba kwa band au hakuna band? Kama yalikuwa anaimba na band unakuja kumpa taarifa hakuna kuimba na band siku na eneo la tukio ni kosa la nani kutokuwa professional?Yaani kufanya show bila band ndio kuonesha wamemdharau?
Mkuu tunamzungumzia Ali Kiba, na kibiashara na kimuziki kila mtu ana maamuzi yake. Rema kuwa na hit song billboard sio excuse ya kubadili makubaliano kati ya watu that's a fact.Fally Ipupa ana bend yake ,ila still kakubali kupiga kwa playback, Rema yule ana hits songs iliyo kaa kwa mda mrefu Billboard na juzi kapiga show kwa Bilionea Ambani still bado kapiga bila band.
Kama makubaliano yao before yalikuwa waimbe live then wakabadilishiwa kama hakuna reasonable reasons basi wamewachukulia poa poa tu.Ina maana hawa wamedharauliwa na Trace? Halafu kesho mambo yake ya kikwama ktk level za kimataifa atasema anabaniwa.
Kwa nini wao Trace wasijipime kwa tamasha bovu namna ile kwanza kabla hawajaanza kumpima huyo Kiba? Wameshindwa kupandisha band, mambo kibao yalikuwa bora liende tamasha bovu wanapima kitu gani sasa?Trace ni chombo kikubwa cha burudani Afrika,juzi kulikuwa na wadau kibao ambao wana connection kwenye mziki huu wa Afrika, wanaweza kutumia hiyo events kupima attitude ya Kiba.
Ukiombwa mkuu si ina majibu mawili, ukubali au ukatae? Sasa unamlaumu nini Kiba kukataa kitu ambacho ameombwa na sio lazima?Sizani kama walimdharau, wasanii wakubwa wenye profile kubwa kuliko yy walipiga kwa kutumia playback na tena waliombwa,hivi unajua maana ya kuombwa?
Makubaliano kabla hajapanda kwenye kampeni ni ataimba playback au live? Kama wakikubaliana na akalipwa aimbe playback tatizo litakuwa wapi?Halafu wakati wa kipindi cha uchaguzi kwenye kampeni, atapiga show mikoa yote kwa kutumia playback,kawakatalia Trace ila kwenye kampeni atawakubalia chama tawala na atapiga show kwa kutumia playback.
Ni kweli.Ndio maana nimekuambia akili ni nywele kila mtu anazake
Wewe kwanini una mchukia mtu ambaye hakujui?Sijui watu wanampendea nini yule shoga mbwa mavi kabisa ..Kuna siku nilimuona jamaa flan shabiki amempigia magoti dah siku hio nilitukana matusi yote na nikaamin kweli umaskin ni zaidi ya LAANA...
Sawa siku njema.Makubaliano yalikuwa vipi, anaimba kwa band au hakuna band? Kama yalikuwa anaimba na band unakuja kumpa taarifa hakuna kuimba na band siku na eneo la tukio ni kosa la nani kutokuwa professional?
Mkuu tunamzungumzia Ali Kiba, na kibiashara na kimuziki kila mtu ana maamuzi yake. Rema kuwa na hit song billboard sio excuse ya kubadili makubaliano kati ya watu that's a fact.
Kama makubaliano yao before yalikuwa waimbe live then wakabadilishiwa kama hakuna reasonable reasons basi wamewachukulia poa poa tu.
Angekuwepo Chris Brown hapo wangefanya hivo? Au imagine Usher Raymond anafatwa backstage anaambiwa hakuna kupanda na band yako utapiga playback unafikri ingekuwaje?
Kwa nini wao Trace wasijipime kwa tamasha bovu namna ile kwanza kabla hawajaanza kumpima huyo Kiba? Wameshindwa kupandisha band, mambo kibao yalikuwa bora liende tamasha bovu wanapima kitu gani sasa?
Ukiombwa mkuu si ina majibu mawili, ukubali au ukatae? Sasa unamlaumu nini Kiba kukataa kitu ambacho ameombwa na sio lazima?
Makubaliano kabla hajapanda kwenye kampeni ni ataimba playback au live? Kama wakikubaliana na akalipwa aimbe playback tatizo litakuwa wapi?
Ni kweli.
Sijui watu wanampendea nini yule shoga mbwa mavi kabisa ..Kuna siku nilimuona jamaa flan shabiki amempigia magoti dah siku hio nilitukana matusi yote na nikaamin kweli umaskin ni zaidi ya LAANA...
Shoga mbwa mavi kunuka tu yule anafirwa na puff daddy halaf anajiona kidume kuzarau wengine kujiona ana pesa sana[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Kunywa maji kidogo inaweza kusaidia
Shoga mbwa mavi kunuka tu yule anafirwa na puff daddy halaf anajiona kidume kuzarau wengine kujiona ana pesa sana[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
KAma upo Jf kitambo huwezi mshangaa huyu jamaa..Hivi Pdidy una miaka mingapi? 😂😂😂
Member since 2007 ni miaka 18 upo humu lakini namna unavyoandika nyuzi na comments zako 🤦♀️
Ka improve sana,anastahili pongezi.
Alikuwa hawezi kuandika kabisa
KAma upo Jf kitambo huwezi mshangaa huyu jamaa..
Zamani tulipatage nae tabu uandishi wake ,ila tukamzoea..
Na hasemagi kwann anaandikaga hivyo..
Huyo jamaa ni kama kufurahisha genge ila akiamua kuandika makala vizuri hufanya hivyo mara moja mojaNipo JF tangu 2016
Mimi bado ananishangaza,labda kwasababu sioni akiandika mara nyingi bado sijamzoea sana