Trace imetia aibu kabisa, nimesikia WASAFI nikashangaa sana. Pia, management ya Alikiba mna shida

Trace imetia aibu kabisa, nimesikia WASAFI nikashangaa sana. Pia, management ya Alikiba mna shida

Hivi Pdidy una miaka mingapi? 😂😂😂
Member since 2007 ni miaka 18 upo humu lakini namna unavyoandika nyuzi na comments zako 🤦‍♀️
UNATAKA kunipa trace awards??
 
Sema leo mwamba umejitahidi kupodoa mwandiko au kuna mtu kakupiga tafu,umejitahidi kwa kweli na huyo ras Simba wa mwandiko usiache kuhudhuria tuisheni zake[emoji28]
 
Back
Top Bottom