Kikubwa alitaka kazi iendelee!Massey Ferguson Jana ilikua kumi na Tatu Leo kumi na Sita?
Asante ahmed omar karibu kama wewe mnunuziMassey Ferguson Jana ilikua kumi na Tatu Leo kumi na Sita?
Asante kazi iendeleeKikubwa alitaka kazi iendelee!
Karibu black sniper tufanye biasharaHizo Ford za mwaka gani
Spare zake zipo saanaVipi kuhusu spare parts za Ford tractor upatikanaji wake ukoje hapa tz
Swaraj na Ford ubora unatofautiana mkuu kama wewe unajua trektaAgricom wanauza Swaraj ya HP 55 (mpya) kwa 36,000,000. Je, hizo zako ni mpya au zimepakwa rangi!
Naona Amekwepa Swali?Agricom wanauza Swaraj ya HP 55 (mpya) kwa 36,000,000. Je, hizo zako ni mpya au zimepakwa rangi!
Sijakwepa swali ila nimempa ulinganishoNaona Amekwepa Swali?
Za Kwako Ni Mpya Ama Zimepakwa Rangi?Sijakwepa swali ila nimempa ulinganisho
Angeniambia Ford na Messay Fugerson ningesema sawa
Hiyo Swaraj unaweza kulinganisha na Messay Fugerson ya Pakistan maana ziko sawa
Sio mpya ni used zilipoingia baada ya kufanya TRA clearance tukazipaka rangiZa Kwako Ni Mpya Ama Zimepakwa Rangi?