INAUZWA Tractors for sale Ford 7610, ford 6610, massey fergason 365 zipo Dar

INAUZWA Tractors for sale Ford 7610, ford 6610, massey fergason 365 zipo Dar

IMG-20210901-WA0064.jpg

Huyo hapo handtractor na jembe lake complete 3M
 
Vipi kuhusu spare parts za Ford tractor upatikanaji wake ukoje hapa tz
Ford ni trector nzuri sana ninayo ya kuridhi kutoka kwa marehemu baba yangu ni ya mwaka 92 , ni ford 4600 haijawahi kunisumbua na inahimili zaidi kuzidi hata massey furgason ,vipuli vipo vingi sana ila ni used ,vipuli vingine huwa naendea NAKURU KENYA .... KM unafikiria kuchukua chukua tu mkuu

sent from HUAWEI
 
Asante mkuu kwa huu ushuhuda
 
Matractor yanauzwa yapo Dar

1. Tractor aina ya Massey Fergason 165 nyekundu, 2 wheel inaunzwa 13, 000,000,

2. Ford 7610( 35,000, 000) 4 wheels

3. Ford 6610(35,000,000), 4 wheels

Tractor zote zimeishalipiwa kila kitu TRA ukifanyika biashara unaenda kuchukuliwa namba TRA

Kama utaitaji njoo PM tufanye biashara

View attachment 1920898View attachment 1920899View attachment 1920900View attachment 1920901View attachment 1920902View attachment 1920904

View attachment 1920903
View attachment 1964702

Handtractor na jembe lake 3M
Kama hutajali naomba uweke specifications zake hapa
 
Back
Top Bottom