INAUZWA Tractors for sale Ford 7610, ford 6610, massey fergason 365 zipo Dar

Hakika tractor hizo ni nzuri sana kwa kazi maana hizo brand za mf na Ford zinajulikana kwa kazi ni sawa na mtu anayeongelea landcruiser au landlover hapa tz
 
Swaraj na Ford ubora unatofautiana mkuu kama wewe unajua trekta
Tofauti yake siyo saana. Wengi wanadhani kwa sababu Ford ni ya Ulaya ni bora kuliko Swaraj (ya India). Wanaozitumia hizi wanasema Swaraj ni bora kuliko Ford na inatumia mafuta vizuri, lakini kwa vile ford ni ya Ulaya tunadhani ni bora! Hivyo hivyo tulikuwa tukidharau bidhaa za china, lakini Ulaya/USA 80% ya bidhaa madukani zinatoka China na asili mia kubwa ya magari tunayoyaita ya Japani, Ulaya, n.k. components zake zimetengezwa China.
 
Bei gani!!?
nichukue limoja nikalimie kibaha
 
Hii masey fagason ndiyo ile alikuja nayo Vasco Dagama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…