INAUZWA Tractors for sale Ford 7610, ford 6610, massey fergason 365 zipo Dar

Vipi kuhusu spare parts za Ford tractor upatikanaji wake ukoje hapa tz
Ford ni trector nzuri sana ninayo ya kuridhi kutoka kwa marehemu baba yangu ni ya mwaka 92 , ni ford 4600 haijawahi kunisumbua na inahimili zaidi kuzidi hata massey furgason ,vipuli vipo vingi sana ila ni used ,vipuli vingine huwa naendea NAKURU KENYA .... KM unafikiria kuchukua chukua tu mkuu

sent from HUAWEI
 
Asante mkuu kwa huu ushuhuda
 
Hiyo hand tractor ni ya kampuni gani
 
Kama hutajali naomba uweke specifications zake hapa
 
Sio mpya ni used zilipoingia baada ya kufanya TRA clearance tukazipaka rangi

Zina mwezi zimeingia nchini toka Holland
Hapo ndo mnapokosea. Kitu kikishapakwa rangi mara nyingi ni magumashi. Acha hivyo hivyo mteja aone,halfu mwambie nakupigia rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…