adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Takribani wiki na zaidi traffic lights zilizopo Kimara Bucha hazifanyi kazi na wahusika wako kimya. Ni eneo hatari mno kwa watumiaji wa barabara, kutofanya kazi kwa taa hizi ni sawa na kuliandaa taifa kuelekea msiba mzito maana hakuna anayejali si Tanroads ambao ndo wahusika wa kuu wala askari wa barabarani. Sijui wahusika hawaoni hatari iliyopo ukizingatia ni barabara yeye magari mengi mno hususani magari ya mizigo. Wahusika chukueni hatua za haraka kabla ya janga lolote tafadhali.