mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi.
Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha hali hii, si jioni si asubuhi ni kero kweli kweli.
Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha hali hii, si jioni si asubuhi ni kero kweli kweli.