The way I see ni kwamba labda uongozi wa polisi utawasiliana na TANAPA baada ya askari mmojawapo kuliwa na simba.
Yaani ata hao askari wa wanyama pori nao wanawashangaa bse hakuna askari wa pori ambaye amekuwa attached kwa ajili yao kuwalinda.
Tz iko shaghala bagala kwenye mambo mengi sana
Ze Marcopolo inaelekea huwajui vizuri hawa Traffic, hawakai sehemu kwa lengo la kulinda sheria za barabarani bali kukusanya hela ya kula na familia zao kwa njia ya rushwa. Wanajipanga sehemu ambayo ni rahisi kukamata walozidisha mwendo wapewe rushwa. Ile wiki ya Xmass nilikamatwa overspeed pale Chamwimo Moro mjini nikatoa rushwa ya buku 10 mbele ya RTO, halafu 20 niliyookoa nikaenda kugongea Castle light Iringa mjini. Kama sio rushwa hiyo hela yote 30 ingekuwa ya serikaliNjowepo,
Hao polisi unawalalamikia bure. Usidhani kuwa wao ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kujua kuwa mbuga ni sehemu hatari, ila mazingira ya kazi yao ndio yanawafanya wawepo hapo. Polisi wanaosimama barabarani wengi wao huwa wanapewa assignment na location, hawachagui. Pia ukifuatilia unaweza kukuta uongozi wa mbuga ndio umeomba jeshi la polisi liweke askari kuhakikiisha wavinja sheria hawamalizi wanyama.
Anyways, enjoy your vacation...