Traffic polisi hii kali!Speed limit mpaka mbugani!

Traffic polisi hii kali!Speed limit mpaka mbugani!

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Huwezi amini nilikuwa naenda kuona wanyama leo pale mikumi si nkakuta traffic kwenye kibao cha speed limit 50 na kamela lake.Uzuri nami nilikuwa 45 kmhr
Jamani mbugani humu mnaanza kumonitor speed limit mkija liwa na Simba.
Ikanifanya kuyakumbuka maneno ya Mwalimu serikali lege lege hukimbizana na dagaa sio papa.
Imagine kamera lundo wamepewa trafic ili kuweza raise mapato kupitia izi fines wakati kuna makampuni kibao hasa kwa mining industry ambao contribution yao via kodi ni questionable.
Kama serikali imefikia hatua ya kutegemea fines kuraise revenue na huu ukata then its a wrong solution kwa ukata uliopo
 
Waelekeze wakajifiche hapa mbele kama unakuja Moro ukishapita njia ya kuingia Mikumi lodge, kuna kidimbwi huwa akanaa kiboko. Waambie pale pazuri,hapana malaria, au umeshatoka huko? Kama bado uko huko wachomekee waingie anga za kiboko.
 
hii nayo ni breaking news??? kwani hujui kuwa mbugani kuna speeda yake ya kutembea kule?
 
Weee vipi. Askari hawako kwa ajili ya kutoza fine. ila kuhakikisha sheria zinafuata. Hakuna mahali ambapo speed zinatakiwa kudhibktiwa kama mbugani. Madhara yake kwa wanyama ni makubwa
 
Ni breaking news kwa kuwa huwa napita mara kwa mara hii barabara sijawai kuwaona.
Alafu kumbuka mbugani ni sehemu hatari kukaa bse lazima kuwe na askari wa hiyo hifadhi kuwalinda as izo bunduki zenu za kuulia watu hazifui dafu kwa Nyati mwenye hasira akiwa anakuja kukuvamia.
Alafu kwa upande mwingine ni kuwa kamera zimekuwa nyingi mpaka wameamua kupeleka na mbugani lengo likiwa kukusanya fines nyingi bila kujua kuwa askari ndo wanaofaidika.
Ushauri wangu fine ingekuwa ata 10000 serikali ingevuna zaidi kuliko sasa buku 5 na wekundu za kuhonga zaishia kwa polisi
 
Njowepo,
Hao polisi unawalalamikia bure. Usidhani kuwa wao ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kujua kuwa mbuga ni sehemu hatari, ila mazingira ya kazi yao ndio yanawafanya wawepo hapo. Polisi wanaosimama barabarani wengi wao huwa wanapewa assignment na location, hawachagui. Pia ukifuatilia unaweza kukuta uongozi wa mbuga ndio umeomba jeshi la polisi liweke askari kuhakikiisha wavinja sheria hawamalizi wanyama.

Anyways, enjoy your vacation...
 
The way I see ni kwamba labda uongozi wa polisi utawasiliana na TANAPA baada ya askari mmojawapo kuliwa na simba.
Yaani ata hao askari wa wanyama pori nao wanawashangaa bse hakuna askari wa pori ambaye amekuwa attached kwa ajili yao kuwalinda.
Tz iko shaghala bagala kwenye mambo mengi sana
 
Wakifumuliwa na tembo ni kodi yetu itakayotumika kuwagharamia,halafu wanachovuna hapo kupitia hizo fine kinaingia mifukoni kwao. Hawa wanyama tunawalinda wasigongwe kwa faida ya nani hasa. Juzi tumejulishwa kuwa idadi ya kutosha ya wanyama wamepandishwa ndege kwenda ujubani,lakini wezi wako mitaani wanapandisha maghorofa.

Cha msingi ni kuwa makini na speed za ovyo ovyo hata kama hatuko mbugani. High speed kills.
 
baada ya 1 kuliwa wataacha tu ngoja tuone mikumi kuna matuta kama ya viazi kamera za nini?
 
Njowepo,
Hao polisi unawalalamikia bure. Usidhani kuwa wao ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kujua kuwa mbuga ni sehemu hatari, ila mazingira ya kazi yao ndio yanawafanya wawepo hapo. Polisi wanaosimama barabarani wengi wao huwa wanapewa assignment na location, hawachagui. Pia ukifuatilia unaweza kukuta uongozi wa mbuga ndio umeomba jeshi la polisi liweke askari kuhakikiisha wavinja sheria hawamalizi wanyama.

Anyways, enjoy your vacation...
Ze Marcopolo inaelekea huwajui vizuri hawa Traffic, hawakai sehemu kwa lengo la kulinda sheria za barabarani bali kukusanya hela ya kula na familia zao kwa njia ya rushwa. Wanajipanga sehemu ambayo ni rahisi kukamata walozidisha mwendo wapewe rushwa. Ile wiki ya Xmass nilikamatwa overspeed pale Chamwimo Moro mjini nikatoa rushwa ya buku 10 mbele ya RTO, halafu 20 niliyookoa nikaenda kugongea Castle light Iringa mjini. Kama sio rushwa hiyo hela yote 30 ingekuwa ya serikali
 
Back
Top Bottom