Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,240
Huwezi amini nilikuwa naenda kuona wanyama leo pale mikumi si nkakuta traffic kwenye kibao cha speed limit 50 na kamela lake.Uzuri nami nilikuwa 45 kmhr
Jamani mbugani humu mnaanza kumonitor speed limit mkija liwa na Simba.
Ikanifanya kuyakumbuka maneno ya Mwalimu serikali lege lege hukimbizana na dagaa sio papa.
Imagine kamera lundo wamepewa trafic ili kuweza raise mapato kupitia izi fines wakati kuna makampuni kibao hasa kwa mining industry ambao contribution yao via kodi ni questionable.
Kama serikali imefikia hatua ya kutegemea fines kuraise revenue na huu ukata then its a wrong solution kwa ukata uliopo