Traffic wa Ulanga Mna njaa sana! Sema mmenikuta Tarehe za Mshahara, Money Talks!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara.

Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au wajishughulishe na kilimo cha Mpunga, wanaomba hadi aibu.

Kuna kazi ni kujiaibisha, baba kaenda kazini, kumbe kuomba omba.
 
Jana weekend mida ya jioni nikatoka ku cruise kidogo 😎. Sikuwa na wazo la kuvaa mkanda nikajisemea, leo matrafiki nao wamepumzika

Kioo wazi, upepo unaingia, starehe kabisa 😂.

Ghafla… huyo hapo! Akaniona tu kabla sijajua nini kinaendelea. Akaniuliza leseni nikampa kwa heshima zote. Akaenda ku check plate number kama nina deni… bahati nzuri niko safi.

Akarudi na kile kimashine chake, tayari anataka kunipiga faini ya 30,000 sijavaa mkanda.

mfukoni sina hata elfu 5, zimejaa nyekundu tu 😂.

Ikabidi nifanye nitoe japo roho iliuma nikijua kabisa njia hii hainaga chenji na kikienda hakiudi.

Nikamuacha mwenzangu niliyemkuta pale bado yuko kwenye kikao cha mazungumzo. Sijui alikuwa anaomba msamaha, sijui kama alitoboa kwa kubembeleza au alijiongeza kuzama mfukoni.
 
Unawezaje kuendesha bila kufunga mkanda? Gari yako haina alarm usipofunga mkanda? Ilitakiwa akukate point 3 kabisa.
 
Hivi Ulanga bado kuna watu kule, halafu mazingira ya kule yalivyo kama ni mgeni unaweza ukashtuka Tu Askari Yuko mbele yako sijui wanajifichaga porini au nyuma ya vibanda....Ile njia yao iko na vumbi vibaya Sana Yaani ni vumbi mwanzo mwisho sijui sasa hivi kama itakuwa wameirekebisha.
 
Back
Top Bottom