tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mimi nakula pesa zangu,mimi sio nzi wa kijani kama wewe.Brazaj una ila,uchaguzi ushakwisha
Wewe siyo tila lila,kurejea yaloisha
Lissu huko anakula,anayaponda maisha
Nchi tujenge pamoja,ya namba tusiyakuze
Nawe Mrangi sikia,usizidi kuchongea
Siku wakikupatia,usije kutugongea
Akili zitakwishia,uanze kunyong'onyoe
Nchi tujenge pamoja ya namba tusiyakuze
Sefu yeye kabaini,lazima tushikamane
Ametilia maanani,Nchi kwanza si mengine
Makandokando ya nini,Hatuna kwenda kwingine
Nchi tujenge pamoja ,ya namba tusiyakuze.
Subiria teuzi utapewa hata viti maalum uwt