Trafic amegoma kumchukulia hatua dreva wa lori la jeshi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi.

Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita pale.

Trafic kaniambia ile sio kazi yangu. Nikaingia sokoni mpaka natoka muda huu nusu saa ile gari bado ipo.

Sheria za nchi hazihusu JWTZ?
 
Inaonyesha wewe wa kawe,umeingia soko gani au lile la nyuki linalosemwa litakuwa la kimataifa msimu wa uchaguzi🤔
 
Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi.

Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita pale.

Trafic kaniambia ile sio kazi yangu. Nikaingia sokoni mpaka natoka muda huu nusu saa ile gari bado ipo.

Sheria za nchi hazihusu JWTZ?
[emoji3] trafick kaona mwana lunyasi unataka kumpasia msala.
 
Ndege wafananao hao na huruka pmj .

Tofauti n viota walivyotoka tu [emoji23]
 
Hapa sokoni lori la jeshi limepaki kwenye ukingo wa zebra sehemu ya sisi waenda kwa miguu kuvukia. Kwa ufupi lori limebrok zebra na dreva yupo mle kapiga usingizi.

Kwa hiyo nikamfuata trafic ili aje amshughulikie yule mwanajeshi kwa mujibu wa sheria maana waenda kwa miguu wanashindwa kupita pale.

Trafic kaniambia ile sio kazi yangu. Nikaingia sokoni mpaka natoka muda huu nusu saa ile gari bado ipo.

Sheria za nchi hazihusu JWTZ?

Zinawahusu. Ni siku hizi mpaka hata SU wanaona sheria haziwahusu. Wanaharaka. Kuna siku jamaa alikimbia nusura agonge. Baadae tunafika mbele tunakuta amewahi kibanda cha supu.
Hana lolote zaidi ya dhamana ya SU. Masikitiko. Ukosefu wa nidhamu ni dhambi itakayoletea majanga makubwa
 
Kuna mahali nilisoma hapa jf kuhusu gari ya jeshi kupita kwenye barabara ya mwendo kasi
Gari la jeshi linapopakiwa mahali eneo hilo ni la jeshi kwa muda huo.
 
Zinawahusu. Ni siku hizi mpaka hata SU wanaona sheria haziwahusu. Wanaharaka. Kuna siku jamaa alikimbia nusura agonge. Baadae tunafika mbele tunakuta amewahi kibanda cha supu.
Hana lolote zaidi ya dhamana ya SU. Masikitiko. Ukosefu wa nidhamu ni dhambi itakayoletea majanga makubwa
Hii nilikutana nayo wiki iliyopita kwenye yale mataa ya mbuyuni kama unatokea mjini kuitafuta Morocco. Ilikuja coaster SU/STL sikumbuki vizuri. Tukiwa tumesimamishwa na Traffic,jamaa alijipenyeza akapita akaenda zake.
 
Back
Top Bottom