Trafic huyu jamani

Trafic huyu jamani

hahahahah, onja ladha ya "trafic" mweusi. hahahahahah. Unaonekana shoga uliolewa ukiwa "sealed" na hujaona tena nyingine, hebu onja ya askari wa kikosi cha usalama barabarani (mweusi) ulinganishe na ya Mr, wako hahahaha.

Akili za kuambiwa changanya naza kwako (JK)
[HASHTAG]#akilikumkicha[/HASHTAG]
 
MBITI weee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] turafiki na kaulimi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Nikija moro naomba twende Airport pub kuna mchemsho wa kuku mzur alafu jion tuende Flom hotel (Sjui kama nimepatia jina)Tufurahie mazingira ya morooo
Hivi haijabomolewa bado? si kipindi kile walisema itabomolewa kwa kuwa imejenga juu ya bomba la mafuta.
Any way mie napenda sana kucheza dansi pale Nyumbani (Samaki Samaki)
 
Nikija moro naomba twende Airport pub kuna mchemsho wa kuku mzur alafu jion tuende Flom hotel (Sjui kama nimepatia jina)Tufurahie mazingira ya morooo
haaaaahhhhhhhhhhhh!leo nitapitaa flomi!ukija shtua me
 
Ngoja siku akuombe nyapu alafu umtolee nje utatamani upaki gari nyumbani
 
Back
Top Bottom