Trafic huyu jamani

Trafic huyu jamani

Jamani mtu yyte ani PM maana sijawahi kupata msg yyte PM au mm kumtumia mtu so yyte naomba anitumie nione how I can reply
 
[QUOTE="mapipando, post: 25873315, umefika mbali
 
Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...

Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols

natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]

cc NAHUJA
Trafik wa kike wa Morogoro ngoja niwaite humu!
 
Zile crush zako naona MBITIYAZA ameanza kutembelea nyota yako.

Hahaa looh

Tafadhali usianze nifananisha na mtu humu. Kasinde sina kificho chochote nawekaga wazi mwenyewe. Ukimuona Kasie basi ujue ndo Kasinde na ukimuona Kasinde basi umempata Kasie.

Wengine wote sio mie, take it from me.
 
Aisee kwahiyo kumbe hiyo gar nilikununulia ili uanze kucheka cheka na matrafic njian na kutoleana ulimi?

Nikikunyanganya tusilaumiane
 
Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...

Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols

natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]

cc NAHUJA

Pengine nae anataka aiongoze ' Mbunye ' yako kama ambavyo anayaongoza Magari Mkuu. Kikubwa mpe tu ' ushirikiano ' ili atiririke na aserereke nayo ' Kibaiolojia ' kwani hatoondoka nayo na atakuachia kwa matumizi ya aliyepewa ' Leseni ' Kanisani Madhabahuni.
 
Back
Top Bottom