DOKEZO Trafick Police wa Dodoma ‘wanatusuuza’ sana tena live kwenye magari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wanatufanya hamna yani hujampa hela ya kiwi (2000) anakuweka mkeka bila kujali kama unalisha familia kwa kuwa barabarani #dereva wa daladala
 
Hivi hawa PCCB ni kukaa tu ofisini hawana muda wa kwenda sites kama barabarani wakawakamata hawa jamaa wala rushwa hadharani?

Yaani hadi wananchi wa kawaida wanasaidia kuwapiga picha wakiwa wanachukua rushwa hadharani ndiyo eti wanachukua hatua.

Yaani PCCB wakiamua ku deal na rushwa barabarani aise zaidi ya nusu ya askari watakuwa mahakamani maana sio kwa kuendekeza rushwa huko.
 
Wengine wako pale njia panda ya chamwino hawana hofu kabisa live live wana piga na ina julikana wazi
 
Yaani unakuta askari mmoja anasimamisha magari zaidi ya kumi halafu hakuna hata gari moja analolikagua zaidi ya kupiga mkono na kusubiri konda ashuke ampelekee chake.

Hadi madereva waje wafanye mgono nchi nzima kupinga rushwa ndiyo hao wanaohusika kudhibiti rushwa waamke?

Mlio na dhamana ya kudhibiti rushwa wasaidieni madereva na nchi kwa ujumla maana madereva na makondakta wanashinda barabarani tangu saa tisa alfajiri hadi saa sita usiku lakini hawana wanachokipata cha maana.
 
Inasikitisha sana. Yaani utadhani nchi haina mamlaka ya kudhibiti vitendo vya rushwa aise.

Yaani jamaa wapo barabarani sio kwa ajili ya usalama barabarani bali kuchukua chao waende zao.

Kuna wakati unajiuliza au kuna baraka kutoka kwa wakubwa zao ndiyo maana wanachukua mzigo hadharani bila hofu?

Mamlaka husika chukueni hatua msikae ofisini tu kusubiri kuletewa taarifa.
 
Wakale wapi wakati mwenzao ana Billion 5 Bank na hafanywi chochote
 
Hivi hawa PCCB ni kukaa tu ofisini hawana muda wa kwenda sites kama barabarani wakawakamata hawa jamaa wala rushwa hadharani?

Yaani hadi wananchi wa kawaida wanasaidia kuwapiga picha wakiwa wanachukua rushwa hadharani ndiyo eti wanachukua hatua.

Yaani PCCB wakiamua ku deal na rushwa barabarani aise zaidi ya nusu ya askari watakuwa mahakamani maana sio kwa kuendekeza rushwa huko.
Pia trafik wakiamua kufuata Sheria nusu ya magar yatatoka barabarani
 
Yaani unakuta askari mmoja anasimamisha magari zaidi ya kumi halafu hakuna hata gari moja analolikagua zaidi ya kupiga mkono na kusubiri konda ashuke ampelekee chake.

Hadi madereva waje wafanye mgono nchi nzima kupinga rushwa ndiyo hao wanaohusika kudhibiti rushwa waamke?

Mlio na dhamana ya kudhibiti rushwa wasaidieni madereva na nchi kwa ujumla maana madereva na makondakta wanashinda barabarani tangu saa tisa alfajiri hadi saa sita usiku lakini hawana wanachokipata cha maana.
Wazo zuri, ila traffic wa Tanzania siku wakianza kufanya kazi kwa sheria, basi nusu ya gari tanzania zita paki gereji.
 
Wanakusanya buku buku Hadi jua likizama wana hela nzuri wanaenda kulala, hii naona ni formula ya trafki nchi mzima.
 
Back
Top Bottom