Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Kazi nzuriHapa ni mtaa wa Mshangano Manispaa ya Songea pembeni kuna michepuko wa kwenda Tunduru, Mtwara hadi Dar gari zote zinapita hapa barabara haiwezi kuhimili.
Halafu hapa stendi watu wengi na hakuna trafiki raia anajitolea huyu.
View attachment 2852917
Trafiki saa leo wanalewea tu mipesa ya rushwa wanasherehekea sikukuu ya walevi duniani.Hapa ni mtaa wa Mshangano Manispaa ya Songea pembeni kuna michepuko wa kwenda Tunduru, Mtwara hadi Dar gari zote zinapita hapa barabara haiwezi kuhimili.
Halafu hapa stendi watu wengi na hakuna trafiki raia anajitolea huyu.
View attachment 2852917
Bibi kumbe siku zingine zinachrgeπTrafiki saa leo wanalewea tu mipesa ya rushwa wanasherehekea sikukuu ya walevi duniani.
Katafute mume ubarikiwe na papa. Usinzowee.Bib
Bibi kumbe siku zingine zinachrgeπ
Bibi kwaiyo apo kosa langu nini ujue unanikosea mnoKatafute mume ubarikiwe na papa. Usinzowee.
Hapa ni mtaa wa Mshangano Manispaa ya Songea pembeni kuna michepuko wa kwenda Tunduru, Mtwara hadi Dar gari zote zinapita hapa barabara haiwezi kuhimili.
Halafu hapa stendi watu wengi na hakuna trafiki raia anajitolea huyu.
View attachment 2852917
Traffic Tupo
View attachment 2853031
Swala si kulipwa ni kumkumbusha wenye dhamana hiyo kwanini wanajisahau bila huyu ingekuwa shida.hicho kibarua anachojipa hatokaa alipwe
Jamaa kapiga sana kazi.na trafiki walipita na gari yao wakasimamishwa hadi watu wavuke,nikamwambia mnaona huyo jamaa anajitolea kufanya kazi yenu?wanajibu bila aibu tumemuona.Alaf kina majaliwa ndio wanaenda kupewa nafasi kwenye jeshi la uokozi
Trafiki saa leo wanalewea tu mipesa ya rushwa wanasherehekea sikukuu ya walevi duniani.
Unadhani hawafahamu ππSwala si kulipwa ni kumkumbusha wenye dhamana hiyo kwanini wanajisahau bila huyu ingekuwa shida.
Kumbe!Unadhani hawafahamu ππ