Trafiki mpo hapa?

Trafiki mpo hapa?

Si kosa lake, serikali yake imelala. Ukiona upuuzi wa namna hii katika nchi yeyote ile basi juwa kuwa serikali yake imelala. Nchi yetu ina matatizo sana ya uongozi, wamemuua bure Magufuli tu.
 
UNAWEZA SIKIA JAMAAA KATAFUTWA NA KUFUNGULIWA KESI!
 
Hapa ni mtaa wa Mshangano Manispaa ya Songea pembeni kuna michepuko wa kwenda Tunduru, Mtwara hadi Dar gari zote zinapita hapa barabara haiwezi kuhimili.

Halafu hapa stendi watu wengi na hakuna trafiki raia anajitolea huyu.

View attachment 2852917
Trafiki saa leo wanalewea tu mipesa ya rushwa wanasherehekea sikukuu ya walevi duniani.
 
Alaf kina majaliwa ndio wanaenda kupewa nafasi kwenye jeshi la uokozi
Jamaa kapiga sana kazi.na trafiki walipita na gari yao wakasimamishwa hadi watu wavuke,nikamwambia mnaona huyo jamaa anajitolea kufanya kazi yenu?wanajibu bila aibu tumemuona.
 
Back
Top Bottom