Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #21
mmh?? kweli hayaTunajifanyaga tunajuuuaaaaa then tunashindwa kuelewa kuwa hvyo vitu viwili vyote unavyovilinganisha vitakuja nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh?? kweli hayaTunajifanyaga tunajuuuaaaaa then tunashindwa kuelewa kuwa hvyo vitu viwili vyote unavyovilinganisha vitakuja nchini
Andiko la kipumbavu hili, kulingana na maoni yangu. Kama unataka maarifa haya si bora ukatafute huko google.Ukiwa huna interest navyo ni wewe ila ni andiko zuri saana tuu.
Google jinsi ilivyo ni search engine, maana yake unaweza kuggogle ukapata link ya uzi huu ukaja tena hapa kupitiaAndiko la kipumbavu hili, kulingana na maoni yangu. Kama unataka maarifa haya si bora ukatafute huko google.
Huu ndiyo ukweliukweli ni kwamba hakuna katika watu 100 hapa atakayesoma na kuelewa ni wawili au wasizidi watatu.
Wengi wataishia kusema kama wewe tu kusema tupo tutakayoisoma kuonyesha wapo intelligent lakini hakuna kitachochambuliwa zaidi ya kuishia kuongea maneno kama yako.
Kama nadanganya subiri uone
Yaaaap ya kwanza kwenye picha ni Elecric lokomotive ndo hii inafanya majaribio ina lokomotive motion kama chama wa simba ya pili elecric multiple unity zinakuja kwa set set ya kwanza iko kwenye majaribio kiwandani naskia zinakuja set 8 au 10 sina hakika sana hii na nadhani itakua na motion ya tuisila kisinda wa yanga so zote zitakuja mkuummh?? kweli haya
Na vile wabonho hatupendi kusomaSasa hayo madude unayocopy na kupaste kutoka kwenye mtandao nani atayasoma?w
Bonda tenaMkuu,
Kama wewe umekimbia umande, usikatae wengine kupewa nafasi ya kujua mambo.
Kama hutaki kusoma, usisome.Lakini, usinyanyapae watu wanaoleta mambo ya kusoma hapa.
Unaweza kuona PDF halisomeki, kumbe wenzako ndiyo wamesomea Ph.D mambo hayo.
Nchi kubwa hii, usifikiri kila mtu yupo sawa na wa kijijini kwako.
hili letu aliwezi fika 200 km /hr. ni laki zamani sana sana sanaYaaaap ya kwanza kwenye picha ni Elecric lokomotive ndo hii inafanya majaribio ina lokomotive motion kama chama wa simba ya pili elecric multiple unity zinakuja kwa set set ya kwanza iko kwenye majaribio kiwandani naskia zinakuja set 8 au 10 sina hakika sana hii na nadhani itakua na motion ya tuisila kisinda wa yanga so zote zitakuja mkuu
ulikimbia umande. ila freshHuu ndiyo ukweli
Ya kwanza inaweza isifike lets say shape ila ya pili inaweza fika na sababu hiyo hiyohili letu aliwezi fika 200 km /hr. ni laki zamani sana sana sana
yesYa kwanza inaweza isifike lets say shape ila ya pili inaweza fika na sababu hiyo hiyo
Jisemee mwenyewe. Watu tunajua kitafuta fact kama hiziukweli ni kwamba hakuna katika watu 100 hapa atakayesoma na kuelewa ni wawili au wasizidi watatu.
Wengi wataishia kusema kama wewe tu kusema tupo tutakayoisoma kuonyesha wapo intelligent lakini hakuna kitachochambuliwa zaidi ya kuishia kuongea maneno kama yako.
Kama nadanganya subiri uone
Wewe ambaye hukukimbia umande uko wapi na umande wakulikimbia umande. ila fresh
wacha ujinga wewe.Jisemee mwenyewe. Watu tunajua kitafuta fact kama hizi
Punguza ujinga.Umecopy na kupaste kutoka internet! Toa kichwani, summarise watu watasoma na kukuelewa! Hiyo "nnya" uliyoiandika hakuna wa kuisoma Kiranga
Hilo train la kizamani sana limeletwa la nn speed 160 kwa saa kwa hito train mwanza siku mbili tutaendelea kusafiri na mbasi traini lao watabebea mzigo ya bahresa kwenda baraEscape from Sobibor train[emoji1787][emoji1787]
100km / h at mostHilo train la kizamani sana limeletwa la nn speed 160 kwa saa kwa hito train mwanza siku mbili tutaendelea kusafiri na mbasi traini lao watabebea mzigo ya bahresa kwenda bara
Ufaransa ipo inatembea km 350 kwa saa china ipo km 400 kwa saa japani ndio namba moja km 600 kwa saa
Unaenda kuleta train hata 200 haifiki bora usafifi na Ally star